Bendi zetu za Zamani

Bendi zetu za Zamani

yutong

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
1,601
Reaction score
338
Ndugu wanaJF hebu tujikumbushe bendi zetu za zamani wakati ambapo nyerere alikuwa hana utani na mafisadi'
1. Tancut Alumas Orchestra (ikiwa na kina John Kitime)
2. Bima Lee Orchesta
3. Vijana Jazz Orchestra (Ahmed Maneti, Kida Waziri enzi hizo) walitamba sana na Ngapulila, Mwisho wa Mwezi, Wifi zangu mnamambo, nk
4. Super Matimila
5. Washirika Tanzania Stars (Watu njatanjata) ikisheheni wanamziki hatari kina Adam Bakar, Eddy Sheggy, Christin Sheggy, Mhina Banduka, Hamza Kalala, nk.
6. Mk Group (Kasongo Mpinda)
7. MK Beats
9. Orchestra Safari Sound


Haya na wewe weka hapo za kwako. Je hizi bendi zipo kwenye makumbusho ya Taifa?
 
NUTA Jazz

Dar International ( Chini ya Jabali la Muziki Marehemu Marijani)

Orchetra Toma Toma

Sikinde
Mwenge Jazz
UDA Jazz
AFRO 70
Atomic Jazz
Jamhuri Jazz
Kilwa Jazz
 
juwata jazz Band BABA YA MUZIKI.
 
-Tabora jazz(wana segere matata), -Urafiki jazz(alikuwepo ngulimba wa ngulimba-juma mrisho), -OSS.
 
Back
Top Bottom