Benefits of Medical Marijuana – Are They Being Completely Overlooked?

Benefits of Medical Marijuana – Are They Being Completely Overlooked?

Madhara ya bangi yanaongezeka..BAADA ya kuwepo kwa baadhi ya tafiti zilizokuwa zikiruhusu uvutaji wa bangi kwa madai kwamba ilisaidia wagonjwa waliosumbuliwa na msongo wa mawazo, hali hiyo imesababisha baadhi ya nchi kuruhusu matumizi yake.

Pamoja na mawazo ya wengi kufikiria kuwa kutokana na nchi ya Jamaica ndiyo ilikuwa mstari wa mbele kwa watumiaji wengi ingekuwa ya kwanza kuruhusu bangi, lakini ukweli ni kwamba nchi ya Canada ndiyo ilikuwa ya kwanza kukubali bangi kutumiwa kama dawa ya maradhi.


Baada ya utafiti huo wa awali hivi karibuni watafiti wengine wamegundua kuwa matumizi ya bangi kwa muda mrefu yanasababisha kujiongezea madhara badala ya kutibu kama ilivyokuwa ikisemekana hapo awali.

Watafiti hao wamekwenda kinyume na wale wa kwanza kwa kusema kuwa matumizi yake yana uwezekano mkubwa wa kumletea mtumiaji magonjwa ya kupungua uzito mara kwa mara, magonjwa ya figo, ini na ugonjwa wa akili.

Watafiti waliogundua athari hizo ni wale wanaotokea nchini Australia ambao katika utafiti wao wamegundua kuwa zaidi ya vijana 3,100 walio katika umri wa miaka 20 ndio wamekuwa watumiaji wakubwa wa bangi.

Utafiti wao umekwenda mbali na kubaini kwamba asilimia 18 ya vijana hao ni wale waliojiingiza katika matumizi ya dawa hizo za kulevya kwa muda wa miaka miwili au mitatu.

Asilimia nyingine 16 ya vijana wa umri huo wamebainika kutumia kwa muda wa kati ya miaka minne hadi mitano.

65 kati ya watumiaji wamegundulika wameshaathirika na maradhi ya ugonjwa wa akili.

Wakati hao wakisumbuliwa na tatizo hilo wengine 233 wamebainika kuathirika kwa figo na ini.

Watafiti wamebaini vijana wengine kati yao wanasumbuliwa na tatizo la kupata uchizi (wehu).
Baada ya kubaini hayo watafiti wametoa ushauri kwa vijana kutotumia dawa hizo za kulevya kwa vijana kwa zaidi ya miaka sita au zaidi tangu pale siku ya kwanza alipoanza kutumia.

Wanasema kuwa kwa wale ambao sasa wamevuta kwa muda mrefu kati ya miaka 15 na zaidi wengi wao wamekumbwa na tatizo la kiakili.


Kwa mujibu wa Dk. John McGrath, wa kituo cha uchunguzi wa afya ya wagonjwa wenye mtindio wa ubongo cha Queensland, nchini Marekani, anasema: “Wengi wa wagonjwa ambao wamekumbwa na matatizo hayo tumegundua ni wale waliowahi kutumia bangi kwa muda mrefu na hatimaye kujikuta wakipata tatizo la akili.”

Daktari huyo anasema kuwa ni nadra sana kukutana na wagonjwa wa akili vijana halafu wakawa hawajawahi kutumia bangi, iwe mwaka mmoja au zaidi.

Anasema kuwa iwapo matumizi ya bangi yatakomeshwa tatizo la vijana kupata matatizo ya utaahira yatapungua kwa kiasi kikubwa duniani.

Bangi ni nini, inatumiwaje?

Kwa hapa nchini na baadhi ya nchi, bangi imetambulika kama dawa ya kulevya ambayo imekuwa na majina mengi kutokana na kutumiwa na kundi la vijana zaidi kuliko watu wazima.

Bangi imekuwa ikijulikana kwa majina mengi ikiwamo, dawa, ganja, hashish, kijiti, marijuana, kaya blunt na mengineyo, ilimradi kutegemeana na sehemu inapotoka.

Watumiaji wengi wamekuwa wakiitumia kwa kuvuta kama sigara au wengine hutumia kwenye kiko kwa kuvuta.

Bangi ni bidhaa iliyochanganyika na kemikali hatari ambazo ni sumu na huathiri afya.
Wapo baadhi ya watumiaji wa bangi ambao wamekuwa wakiitumia kwa kuiweka katika maji wakiifanya kama majani ya chai na wengine huchanganya kwenye chakula.
Bangi inaathiri vipi ubongo?

Wanasayansi wamebaini kuwa matatizo makubwa yanaanza kupatikana kutokana na bangi kuingia kwenye ubongo wa mtumiaji na huathiri mfumo mzima wa akili.

Tatizo kubwa linalomkumba mvuta bangi ni kunyemelewa na magonjwa ya ugonjwa wa shinikizo la damu (BP), kupoteza kumbukumbu, mawazo, anaridhika hata kama ana matatizo.

Pia mtumiaji wa kila siku anakuwa akikumbwa na mabadiliko ya mara kwa mara katika ubongo wake.

Imebainika kuwa bangi inachangia kuongeza mapigo ya moyo kutoka asilimia 20 hadi 100, muda mfupi tu wa saa tatu baada ya kuvuta.

Bangi huaribu mapafu, kwani ina zaidi ya asilimia 50–70 ya kemikali aina ya carcinogenic hydrocarbons kuliko mvutaji wa tumbaku.

Mtumiaji wa bangi hupumua kwa tabu sana kuliko yule anayevuta tumbaku ingawa wote wanaharibu mapafu, pamoja na kuwa na uwezekano mkubwa wa kukaribisha ugonjwa wa kansa.

Imebainika kuwa watu wanaovuta bangi wamekuwa wakisumbuliwa zaidi na matatizo mengi ya kiafya.

Watafiti wamegundua kuwa wavutaji wengi wa bangi wamekuwa hawana mahusiano mema na watu walionao karibu kwani wamekuwa chanzo cha matatizo kutokana na wao kuona kila wanachofanya ndiyo sahihi na cha wenzao si sahihi.

http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=13857


Propaganda........ Mkuu, Tuache kupotosha, leta researchs za sasa na zenye ukweli na sio kudanganya. Marijuana ilikuwa Illegal sio kutokana na effects zake bali kutokana na kulikuwa hamna utafiti hivyo ikawa ni bora ifungiwe ili utafiti ufanywe kwanza. Pia ni kutokana na kuanguka uchumi 1928 - 1230's na tax yake kushuka. Fanya utafiti wa kusoma pande zote na sio kuangalia upande mmoja.


Marijuana sio kama sigara na pombe kwamba serikali inanufaika. Marijuana ni free kuitunza hata nyumbani bila kulipa tax. Serikali haioni umuhimu wake, na ndio maana inakataza na kuleta pombe na sigara ambavyo vina effects zaidi yake.



[h=1]10 Facts About Marijuana[/h] Marijuana is a plant containing a psychoactive chemical, tetrahydrocannabinol (THC), in its leaves, buds and flowers. Marijuana is the most commonly used illicit drug, with forty-two percent of American adults reporting that they have used it.
Despite the fact that marijuana's effects are less harmful than those of most other drugs, including alcohol and tobacco, it is the most common drug that people are arrested for possessing. U.S. marijuana policy is unique among American criminal laws in being enforced so widely and harshly, yet deemed unnecessary by such a substantial portion of the population.
[h=2]Fact #1: Most marijuana users never use any other illicit drug. [/h] Marijuana does not cause people to use hard drugs. Marijuana is the most popular illegal drug in the United States today. Therefore, people who have used less popular drugs such as heroin, cocaine, and LSD, are likely to have also used marijuana. Most marijuana users never use any other illegal drug and the vast majority of those who do try another drug never become addicted or go on to have associated problems. Indeed, for the large majority of people, marijuana is a terminus rather than a so-called gateway drug.[SUP][1][/SUP]
[h=2]Fact #2: Most people who use marijuana do so occasionally. Increasing admissions for treatment do not reflect increasing rates of clinical dependence.[/h] According to a federal Institute of Medicine study in 1999, fewer than 10 percent of those who try marijuana ever meet the clinical criteria for dependence, while 32 percent of tobacco users and 15 percent of alcohol users do. According to federal data, marijuana treatment admissions referred by the criminal justice system rose from 48 percent in 1992 to 58 percent in 2006. Just 45 percent of marijuana admissions met the Diagnostic and Statistical Manual of Mental Disorders criteria for marijuana dependence. More than a third hadn’t used marijuana in the 30 days prior to admission for treatment.[SUP][2][/SUP]
[h=2]Fact #3: Claims about increases in marijuana potency are vastly overstated. In addition, potency is not related to risk of dependence or health impacts. [/h] Although marijuana potency may have increased somewhat in recent decades, claims about enormous increases in potency are vastly overstated and not supported by evidence. Nonetheless, potency is not related to risks of dependence or health impacts. According to the federal government's own data, the average THC in domestically grown marijuana – which comprises the bulk of the US market – is less than 5 percent, a figure that has remained unchanged for nearly a decade. In the 1980s, by comparison, the THC content averaged around 3 percent. Regardless of potency, THC is virtually non-toxic to healthy cells or organs, and is incapable of causing a fatal overdose. Currently, doctors may legally prescribe Marinol, an FDA-approved pill that contains 100 percent THC. The Food and Drug Administration found THC to be safe and effective for the treatment of nausea, vomiting, and wasting diseases. When consumers encounter unusually strong varieties of marijuana, they adjust their use accordingly and smoke less.[SUP][3][/SUP]
[h=2]Fact #4: Marijuana has not been shown to cause mental illness.[/h] Some effects of marijuana ingestion may include feelings of panic, anxiety, and paranoia. Such experiences can be frightening, but the effects are temporary.
That said, none of this is to suggest that there may not be some correlation (but not causation) between marijuana use and certain psychiatric ailments. Marijuana use can correlate with mental illness for many reasons. People often turn to the alleviating effects of marijuana to treat symptoms of distress. One study demonstrated that psychotic symptoms predict later use of marijuana, suggesting that people might turn to the plant for help rather than become ill after use.[SUP][4][/SUP]
[h=2]Fact #5: Marijuana use has not been shown to increase risk of cancer.[/h] Several longitudinal studies have established that even long-term use of marijuana (via smoking) in humans is not associated with elevated cancer risk, including tobacco-related cancers or with cancer of the following sites: colorectal, lung, melanoma, prostate, breast, cervix. A more recent (2009) population-based case-control study found that moderate marijuana smoking over a 20 year period was associated with reduced risk of head and neck cancer (See Liang et al). And a 5-year-long population-based case control study found even long-term heavy marijuana smoking was not associated with lung cancer or UAT (upper aerodigestive tract) cancers.[SUP][5][/SUP]
[h=2]Fact #6: Marijuana has been proven helpful for treating the symptoms of a variety of medical conditions.[/h] Marijuana has been shown to be effective in reducing the nausea induced by cancer chemotherapy, stimulating appetite in AIDS patients, and reducing intraocular pressure in people with glaucoma. There is also appreciable evidence that marijuana reduces muscle spasticity in patients with neurological disorders. A synthetic capsule is available by prescription, but it is not as effective as smoked marijuana for many patients. Learn more about medical marijuana. [SUP][6][/SUP]
[h=2]Fact #7: Marijuana use rates in the Netherlands are similar to those in the U.S. despite very different policies.[/h] The Netherlands' drug policy is one of the most nonpunitive in Europe. For more than twenty years, Dutch citizens over age eighteen have been permitted to buy and use cannabis (marijuana and hashish) in government-regulated coffee shops. This policy has not resulted in dramatically escalating marijuana use. For most age groups, rates of marijuana use in the Netherlands are similar to those in the United States. However, for young adolescents, rates of marijuana use are lower in the Netherlands than in the United States. The Dutch government occasionally revises existing marijuana policy, but it remains committed to decriminalization.[SUP][7][/SUP]
[h=2]Fact #8: Marijuana has not been shown to cause long-term cognitive impairment. [/h] The short-term effects of marijuana include immediate, temporary changes in thoughts, perceptions, and information processing. The cognitive process most clearly affected by marijuana is short-term memory. In laboratory studies, subjects under the influence of marijuana have no trouble remembering things they learned previously. However, they display diminished capacity to learn and recall new information. This diminishment only lasts for the duration of the intoxication. There is no convincing evidence that heavy long-term marijuana use permanently impairs memory or other cognitive functions.[SUP][8][/SUP]
[h=2]Fact #9: There is no compelling evidence that marijuana contributes substantially to traffic accidents and fatalities. [/h] At some doses, marijuana affects perception and psychomotor performance – changes which could impair driving ability. However, in driving studies, marijuana produces little or no car-handling impairment – consistently less than produced by low to moderate doses of alcohol and many legal medications. In contrast to alcohol, which tends to increase risky driving practices, marijuana tends to make subjects more cautious. Surveys of fatally injured drivers show that when THC is detected in the blood, alcohol is almost always detected as well. For some individuals, marijuana may play a role in bad driving. The overall rate of highway accidents appears not to be significantly affected by marijuana's widespread use in society.[SUP][9][/SUP]






[h=2]Fact #10: More than 800,000 people are arrested for marijuana each year, the vast majority of them for simple possession.[/h] Police prosecuted 858,408 persons for marijuana violations in 2009, according to the Federal Bureau of Investigation’s annual Uniform Crime Report. Marijuana arrests now comprise more than one-half (approximately 52 percent) of all drug arrests reported in the United States. A decade ago, marijuana arrests comprised just 44 percent of all drug arrests. Approximately 46 percent of all drug prosecutions nationwide are for marijuana possession. Of those charged with marijuana violations, approximately 88 percent (758,593 Americans) were charged with possession only. The remaining 99,815 individuals were charged with “sale/manufacture,” a category that includes virtually all cultivation offenses.[SUP][10][/SUP]
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Apollo Mmea unaodhuru na ambao unapigwa vita duniani wewe unautetea uhalalishe kuwa ni halali? Wewe Unafuata dini gani ?inaonyesha wewe Dini yako unayoifuata inaruhusu Uvutaji wa Bangi?Na kama ndio hivyo basi Kiongozi wa hiyo Dini yako atakuwa ni Bob Marley. Kwani kila Mmea uliopo duniani ni halali kutumia na Binadamu?hakuna Mimea mingine ni sumu?

Sio Rastafari Orthodox tu, hata Sadhu na Hinduism wanatumia, Hata buddhism wanatumia kama part ya meditation.

url


Wasadhu wameanza kuumuia tangu miaka na miaka 3000BC na haijawapa matatizo mpaka leo, wanauheshimu kama mmea wa kukupa awareness, spirit cleaness, kufukuza majini na mashetani (na ndio maana dawa ya mchawi ni moshi wake, hata siku moja mchawi hapatani nayo)

Solomon aliutaja mti huu, katika archaeology (ambayo ndio kazi yangu), kuna mabaki yake katika 2nd temples za Jerusalem, na Waisraeli walikuwa wanautumia na ulikuwa imported kutoka India na pakistan na maeneo ya mesopotamia, Ulikuwa unatumika na farao kutengeneza makaratasi na holly priests walikuwa wanautumia kufukiza kuondoa majini. Umetajwa katika Hebrew Biblie zaidi ya mara 27 kama "kanembous" na neno Cannabis ndio hiyo asili yake, pia ulikuwa unatumika kama sacred plants kuchanganywa na mimea mingine mitano kwa sacrament walipokuwa sinai na sababu ya Columbus kwenda Amerika ni kupotea njia ya kwenda India kutafuta Kanembous na walipofika Amerika na kukuta wanatumia tumbaku walingaa ni aina gani ya viungo na lilikuwa zao kubwa Europe na Mesopotamia kwa miaka na miaka na mpaka uhuru wa America ulikuwa unatumika kama mmea wa ketongenezea karatasi kutokana na HIGH FIBERS zake.

Ulikuwa Legal mpaka katika dini nyingi ila baada ya kufungiwa 1930's ndio dini zikaiga propaganda za marekani kukataa kuwa ni mmea mbaya. Dini ambazo zinaijua historia na ambazo zina historia kubwa ya Marijuana kama Sadhu mpaka leo na Hinduism wanatumia kama sehemu ya sakramenti zao, kama wakristu wanatumia pombe kwenye sacrament, na wingine wanatumia vitu vyao ambavyo wana historia yake. Kama marijuana ingekuwa illegal ingekatazwa kwenye Biblia maana ilikwepo tangu kipindi cha wana wa israeli Misri.


Suala la Imani na marijuana sio dini moja tu duniani zinaruhusu ni dini nyingi sana kwa kuwa sio mmea wa juzi wala jana bali una historia kubwa duniani na ni mmea wa kwanza kutumika kama dawa duniani.

Sio haja ya kuhukumu imani zinazotumia Mmea huu,

To us, It's a vehicle for communicating with God and the spirit in all of us. It is good for your health when used with awareness and respect.
How can you ban something you didn't create? Scientific theories and religions say that plants already existed when man first appeared on the planet.

You can't get an overdose of marijuana, because it's not a chemical. No one dies from smoking a joint. At most it can make you sleepy. That's why it's prescribed for patients with cancer or AIDS in progressive countries in terms legalization. But opinions are divided. In many places, although it's not legal, its use by certain communities is respected."

Contrary to what many think, we don't use it to get high, but to pray. When you come down from a high you discover that the world is just the same, do you want to get high again?

Before it was very hard for addicts. Through meditation, under the influence of marijuana or not, I discovered that we live in a very damaged world. Many religious people have told us that marijuana is not necessary to find God, and they are right, but not everyone needs the same [vehicle].
 
Propaganda........ Mkuu, Tuache kupotosha, leta researchs za sasa na zenye ukweli na sio kudanganya. Marijuana ilikuwa Illegal sio kutokana na effects zake bali kutokana na kulikuwa hamna utafiti hivyo ikawa ni bora ifungiwe ili utafiti ufanywe kwanza. Pia ni kutokana na kuanguka uchumi 1928 - 1230's na tax yake kushuka. Fanya utafiti wa kusoma pande zote na sio kuangalia upande mmoja.


Marijuana sio kama sigara na pombe kwamba serikali inanufaika. Marijuana ni free kuitunza hata nyumbani bila kulipa tax. Serikali haioni umuhimu wake, na ndio maana inakataza na kuleta pombe na sigara ambavyo vina effects zaidi yake.



10 Facts About Marijuana

Marijuana is a plant containing a psychoactive chemical, tetrahydrocannabinol (THC), in its leaves, buds and flowers. Marijuana is the most commonly used illicit drug, with forty-two percent of American adults reporting that they have used it.
Despite the fact that marijuana's effects are less harmful than those of most other drugs, including alcohol and tobacco, it is the most common drug that people are arrested for possessing. U.S. marijuana policy is unique among American criminal laws in being enforced so widely and harshly, yet deemed unnecessary by such a substantial portion of the population.
Fact #1: Most marijuana users never use any other illicit drug.

Marijuana does not cause people to use hard drugs. Marijuana is the most popular illegal drug in the United States today. Therefore, people who have used less popular drugs such as heroin, cocaine, and LSD, are likely to have also used marijuana. Most marijuana users never use any other illegal drug and the vast majority of those who do try another drug never become addicted or go on to have associated problems. Indeed, for the large majority of people, marijuana is a terminus rather than a so-called gateway drug.[SUP][1][/SUP]
Fact #2: Most people who use marijuana do so occasionally. Increasing admissions for treatment do not reflect increasing rates of clinical dependence.

According to a federal Institute of Medicine study in 1999, fewer than 10 percent of those who try marijuana ever meet the clinical criteria for dependence, while 32 percent of tobacco users and 15 percent of alcohol users do. According to federal data, marijuana treatment admissions referred by the criminal justice system rose from 48 percent in 1992 to 58 percent in 2006. Just 45 percent of marijuana admissions met the Diagnostic and Statistical Manual of Mental Disorders criteria for marijuana dependence. More than a third hadn't used marijuana in the 30 days prior to admission for treatment.[SUP][2][/SUP]
Fact #3: Claims about increases in marijuana potency are vastly overstated. In addition, potency is not related to risk of dependence or health impacts.

Although marijuana potency may have increased somewhat in recent decades, claims about enormous increases in potency are vastly overstated and not supported by evidence. Nonetheless, potency is not related to risks of dependence or health impacts. According to the federal government's own data, the average THC in domestically grown marijuana – which comprises the bulk of the US market – is less than 5 percent, a figure that has remained unchanged for nearly a decade. In the 1980s, by comparison, the THC content averaged around 3 percent. Regardless of potency, THC is virtually non-toxic to healthy cells or organs, and is incapable of causing a fatal overdose. Currently, doctors may legally prescribe Marinol, an FDA-approved pill that contains 100 percent THC. The Food and Drug Administration found THC to be safe and effective for the treatment of nausea, vomiting, and wasting diseases. When consumers encounter unusually strong varieties of marijuana, they adjust their use accordingly and smoke less.[SUP][3][/SUP]
Fact #4: Marijuana has not been shown to cause mental illness.

Some effects of marijuana ingestion may include feelings of panic, anxiety, and paranoia. Such experiences can be frightening, but the effects are temporary.
That said, none of this is to suggest that there may not be some correlation (but not causation) between marijuana use and certain psychiatric ailments. Marijuana use can correlate with mental illness for many reasons. People often turn to the alleviating effects of marijuana to treat symptoms of distress. One study demonstrated that psychotic symptoms predict later use of marijuana, suggesting that people might turn to the plant for help rather than become ill after use.[SUP][4][/SUP]
Fact #5: Marijuana use has not been shown to increase risk of cancer.

Several longitudinal studies have established that even long-term use of marijuana (via smoking) in humans is not associated with elevated cancer risk, including tobacco-related cancers or with cancer of the following sites: colorectal, lung, melanoma, prostate, breast, cervix. A more recent (2009) population-based case-control study found that moderate marijuana smoking over a 20 year period was associated with reduced risk of head and neck cancer (See Liang et al). And a 5-year-long population-based case control study found even long-term heavy marijuana smoking was not associated with lung cancer or UAT (upper aerodigestive tract) cancers.[SUP][5][/SUP]
Fact #6: Marijuana has been proven helpful for treating the symptoms of a variety of medical conditions.

Marijuana has been shown to be effective in reducing the nausea induced by cancer chemotherapy, stimulating appetite in AIDS patients, and reducing intraocular pressure in people with glaucoma. There is also appreciable evidence that marijuana reduces muscle spasticity in patients with neurological disorders. A synthetic capsule is available by prescription, but it is not as effective as smoked marijuana for many patients. Learn more about medical marijuana. [SUP][6][/SUP]
Fact #7: Marijuana use rates in the Netherlands are similar to those in the U.S. despite very different policies.

The Netherlands' drug policy is one of the most nonpunitive in Europe. For more than twenty years, Dutch citizens over age eighteen have been permitted to buy and use cannabis (marijuana and hashish) in government-regulated coffee shops. This policy has not resulted in dramatically escalating marijuana use. For most age groups, rates of marijuana use in the Netherlands are similar to those in the United States. However, for young adolescents, rates of marijuana use are lower in the Netherlands than in the United States. The Dutch government occasionally revises existing marijuana policy, but it remains committed to decriminalization.[SUP][7][/SUP]
Fact #8: Marijuana has not been shown to cause long-term cognitive impairment.

The short-term effects of marijuana include immediate, temporary changes in thoughts, perceptions, and information processing. The cognitive process most clearly affected by marijuana is short-term memory. In laboratory studies, subjects under the influence of marijuana have no trouble remembering things they learned previously. However, they display diminished capacity to learn and recall new information. This diminishment only lasts for the duration of the intoxication. There is no convincing evidence that heavy long-term marijuana use permanently impairs memory or other cognitive functions.[SUP][8][/SUP]
Fact #9: There is no compelling evidence that marijuana contributes substantially to traffic accidents and fatalities.

At some doses, marijuana affects perception and psychomotor performance – changes which could impair driving ability. However, in driving studies, marijuana produces little or no car-handling impairment – consistently less than produced by low to moderate doses of alcohol and many legal medications. In contrast to alcohol, which tends to increase risky driving practices, marijuana tends to make subjects more cautious. Surveys of fatally injured drivers show that when THC is detected in the blood, alcohol is almost always detected as well. For some individuals, marijuana may play a role in bad driving. The overall rate of highway accidents appears not to be significantly affected by marijuana's widespread use in society.[SUP][9][/SUP]






Fact #10: More than 800,000 people are arrested for marijuana each year, the vast majority of them for simple possession.

Police prosecuted 858,408 persons for marijuana violations in 2009, according to the Federal Bureau of Investigation's annual Uniform Crime Report. Marijuana arrests now comprise more than one-half (approximately 52 percent) of all drug arrests reported in the United States. A decade ago, marijuana arrests comprised just 44 percent of all drug arrests. Approximately 46 percent of all drug prosecutions nationwide are for marijuana possession. Of those charged with marijuana violations, approximately 88 percent (758,593 Americans) were charged with possession only. The remaining 99,815 individuals were charged with "sale/manufacture," a category that includes virtually all cultivation offenses.[SUP][10][/SUP]
Mkuu Apollo Ushahidi wako wote uliotowa hausaidiii kitu kuhalalisha Bangi ni sawasawa na mtu kula nyama yake ya mwilini haitowezekana kabisa labda uhalalishe wewe nyumbani kwako waweza kuvuta lakini nje ya nyumba yako Polisi wanakungojea wakuweke jela kazi kwako Ukiweza VutaBangi nyumbani kwako sio nje ya nyumba yako Tafadhali shau kuhalalisha Bangi nchini Tanzania hio kitu haitowezekana kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Apollo Ushahidi wako wote uliotowa hausaidiii kitu kuhalalisha Bangi ni sawasawa na mtu kula nyama yake ya mwilini haitowezekana kabisa labda uhalalishe wewe nyumbani kwako waweza kuvuta lakini nje ya nyumba yako Polisi wanakungojea wakuweke jela kazi kwako Ukiweza VutaBangi nyumbani kwako sio nje ya nyumba yako Tafadhali shau kuhalalisha Bangi nchini Tanzania hio kitu haitowezekana kabisa.

Asante mkuu kwa maelezo yako,

Tutambue kitu kimoja, kati ya Marijuana na sigara kipi kinamadhara mengi na toxic? I know jibu ni sigara. Kwanini serikali inaruhusu? kwanini inaona sawa tu? hata pombe ina madhara na watu wanakufa, kwanini wanaiacha?

JIBU: WANAFANYA MAAMUZI KWA AJILI YA PROFITS NA SIO AFYA ZETU. Marijuana ni less profitable maana haiitaji kupita kiwandani, unaweza kuupanda mmea na kuutumia bila hata kulipa tax. Ndio maana mwisho wa mwaka jana baada ya kuruhusiwa marekani wameweka sheria kuwa itakuwa inauzwa na maeneo yaliyosajiliwa na serikali tu ila wapate profit tu, nothing more.

Pia mimi sio mtumiaji wa vijiweni, kwanza sina tabia ya kukaa vijiweni wala mitaani, ninatumia nikiwa nyumbani free bila stress ninapokuwa nimemaliza shuguli zangu na ninataka ku relax, na kufanyia meditation tu.

Sio lazima waruhusu, maana hata wasiporuhusu bado inatumika tu na wachache wanatambua manufaa yake, na kamwe mmea huo hautaondoka katika uso wa dunia.

RESPECT.
 
Asante mkuu kwa maelezo yako,

Tutambue kitu kimoja, kati ya Marijuana na sigara kipi kinamadhara mengi na toxic? I know jibu ni sigara. Kwanini serikali inaruhusu? kwanini inaona sawa tu? hata pombe ina madhara na watu wanakufa, kwanini wanaiacha?

JIBU: WANAFANYA MAAMUZI KWA AJILI YA PROFITS NA SIO AFYA ZETU. Marijuana ni less profitable maana haiitaji kupita kiwandani, unaweza kuupanda mmea na kuutumia bila hata kulipa tax. Ndio maana mwisho wa mwaka jana baada ya kuruhusiwa marekani wameweka sheria kuwa itakuwa inauzwa na maeneo yaliyosajiliwa na serikali tu ila wapate profit tu, nothing more.

Pia mimi sio mtumiaji wa vijiweni, kwanza sina tabia ya kukaa vijiweni wala mitaani, ninatumia nikiwa nyumbani free bila stress ninapokuwa nimemaliza shuguli zangu na ninataka ku relax, na kufanyia meditation tu.

Sio lazima waruhusu, maana hata wasiporuhusu bado inatumika tu na wachache wanatambua manufaa yake, na kamwe mmea huo hautaondoka katika uso wa dunia.

RESPECT.
Mkuu Apollo Kwangu mimi vyote hivyo ni vibaya kwa afya ya binadamu sijuwi kwako wewe mwenye akili zaidi yangu unaonaje? Mimi simpendi mvuta sigara wala mvuta bangi wala mlevi kwangu mimi vitu hivyo havipandi hata siku moja na wala sifikirii kama niatawahi kutuımia ulevi wa kipumbavu wa aina hiyo sitaweza kabisa kuingiza alcohol katika mwili wangu kwa sababu ninaipenda sana afya kuliko kitu chochote katika maisha yangu samahani kama nitakukwaza. Sijuwi wewe hupendi afya yako?vuta sigara vuta Bangi kunywa pombe matokeo yake utayaona mwisho wake ni kupata maradhi ya ajabu katika mwili wako shauri yako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Apollo Kwangu mimi vyote hivyo ni vibaya kwa afya ya binadamu sijuwi kwako wewe mwenye akili zaidi yangu unaonaje?
Kwanza sijui kama nina akili zaidi yako mkuu, pili vipo vingi vina madhara zaidi yake, soda tu yenyewe ni toxic than marijuana. Ni wazo zuri sana kuhakikisha mwili unakuwa clean na wenye afya, maana hata katika imani, mwili wenye afya hata roho ina nafasi kubwa kuwa safi.


Mimi simpendi mvuta sigara wala mvuta bangi wala mlevi kwangu mimi vitu hivyo havipandi hata siku moja na wala sifikirii kama niatawahi kutuımia ulevi wa kipumbavu wa aina hiyo sitaweza kabisa kuingiza alcohol katika mwili wangu kwa sababu ninaipenda sana afya kuliko kitu chochote katika maisha yangu samahani kama nitakukwaza. Sijuwi wewe hupendi afya yako?vuta sigara vuta Bangi kunywa pombe matokeo yake utayaona mwisho wake ni kupata maradhi ya ajabu katika mwili wako shauri yako.

Mkuu, mimi sijawahi kunywa pombe kamwe maana ni mwiko katika Imani yangu kugusa pombe as a Nazarite.

Pili sigara siijui na siitumii kamwe, pia soda, kahawa, chai, nyama, samaki wasio na magamba, juice ya unga, maziwa ya unga au products ya kiwandani, mafuta ya viwandani, maji ya kununua, vyakula vya makopo, sabuni za medicals, n.k.

Marijuana sitaiacha maana is the way for meditation, i will use it safely kwa kuheshimu sheria za nchi as the was they respect freedoms of beliefs (I'm glad kuna nchi nyingi now hawakatazi spiritual use of herbs). Sioni ubaya wake as long as ninaitumia safe, kwa meditation na sio kupata stimu kama vijana wa mitaani, NO, Mimi ni tofauti nao.

Naamini ipo siku uona some people can use it safely, same to my Boss and Proffesor ambao wametumia for more than 12 years.


Suala la imani ni kuachia imani sio kuhukumu kila kitu.

Blessings.
 
Kwanza sijui kama nina akili zaidi yako mkuu, pili vipo vingi vina madhara zaidi yake, soda tu yenyewe ni toxic than marijuana. Ni wazo zuri sana kuhakikisha mwili unakuwa clean na wenye afya, maana hata katika imani, mwili wenye afya hata roho ina nafasi kubwa kuwa safi.




Mkuu, mimi sijawahi kunywa pombe kamwe maana ni mwiko katika Imani yangu kugusa pombe as a Nazarite.

Pili sigara siijui na siitumii kamwe, pia soda, kahawa, chai, nyama, samaki wasio na magamba, juice ya unga, maziwa ya unga au products ya kiwandani, mafuta ya viwandani, maji ya kununua, vyakula vya makopo, sabuni za medicals, n.k.

Marijuana sitaiacha maana is the way for meditation, i will use it safely kwa kuheshimu sheria za nchi as the was they respect freedoms of beliefs (I'm glad kuna nchi nyingi now hawakatazi spiritual use of herbs). Sioni ubaya wake as long as ninaitumia safe, kwa meditation na sio kupata stimu kama vijana wa mitaani, NO, Mimi ni tofauti nao.

Naamini ipo siku uona some people can use it safely, same to my Boss and Proffesor ambao wametumia for more than 12 years.


Suala la imani ni kuachia imani sio kuhukumu kila kitu.

Blessings.
Mkuu Apollo hutumiaa hivyo vyote lakini Bangi ndio unavuta kwa sababu Bangi inakupa afya bora na Stimu nzuri pole sana wewe mjukuu wa bob marley.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Apollo hutumiaa hivyo vyote lakini Bangi ndio unavuta kwa sababu Bangi inakupa afya bora na Stimu nzuri pole sana wewe mjukuu wa bob marley.

Asante. Ila sidhani kama nastahili pole.

Napenda kurudia tena, situmii kwa alili ya stimu, bali for spiritual and meditation use.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom