Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Yeah, abaki tu Inter Milan.Kocha anayepewa nafasi kubwa kumrithi Ancelloti ni Rafael Benitez wa Inter Milan.
Kocha Carlo Ancelloti ametimuliwa kazi Real Madrid kwa kusemwa kuwa hakupata kombe lolote mwaka huu. Kocha anayepewa nafasi kubwa kumrithi Ancelloti ni Rafael Benitez wa Inter Milan.
Benitez amepata kombe gani msimu huu hadi awavutie Real Madrid?
Kocha Carlo Ancelloti ametimuliwa kazi Real Madrid kwa kusemwa kuwa hakupata kombe lolote mwaka huu. Kocha anayepewa nafasi kubwa kumrithi Ancelloti ni Rafael Benitez wa Inter Milan.
wewe nayuw, benitez ni kocha wa napoli