Benitez ana kombe gani mwaka huu?

Benitez ana kombe gani mwaka huu?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Kocha Carlo Ancelloti ametimuliwa kazi Real Madrid kwa kusemwa kuwa hakupata kombe lolote mwaka huu. Kocha anayepewa nafasi kubwa kumrithi Ancelloti ni Rafael Benitez wa Napoli.

Benitez amepata kombe gani msimu huu hadi awavutie Real Madrid?
 
Kocha Carlo Ancelloti ametimuliwa kazi Real Madrid kwa kusemwa kuwa hakupata kombe lolote mwaka huu. Kocha anayepewa nafasi kubwa kumrithi Ancelloti ni Rafael Benitez wa Inter Milan.

wewe nayuw, benitez ni kocha wa napoli
 
Kocha Carlo Ancelloti ametimuliwa kazi Real Madrid kwa kusemwa kuwa hakupata kombe lolote mwaka huu. Kocha anayepewa nafasi kubwa kumrithi Ancelloti ni Rafael Benitez wa Inter Milan.

Benitez amekuwa kocha wa Napoli na sio Inter Milan...

Pia kumbuka Benitez ameshawahi kuwepo kwenye benchi la ufundi la Madrid miaka ya nyuma, hivyo ni kama anarudi nyumbani...(kama akipewa kazi)
 
Nimerekebisha mkuu Watu8
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom