Benitez ndani ya real madrid unategemea yapi kutoka kwake?

Benitez ndani ya real madrid unategemea yapi kutoka kwake?

jamal seif

Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
78
Reaction score
13
Wadau na wapenzi wa soka mnamuongeleaje huyu jamaa? Kwa upande wangu simuamini sana labda wajuzi wa mambo mnaweza kunifungua kidogo katika hili nawasilisha na karibuni sana
 
Attachments

  • BENITEZ.jpg
    BENITEZ.jpg
    71.9 KB · Views: 307
  • BENITEZ 2.jpg
    BENITEZ 2.jpg
    33.9 KB · Views: 295
  • BENITEZ 3.jpg
    BENITEZ 3.jpg
    45.5 KB · Views: 286
Ancelot alikuwa kocha mzuri sana kwa upande wangu, na Madrid walikuwa wakicheza soka la kuvutia sana kipindi chake ila kwa huyu bwana Benitez sijuiiiiiii!!!!!
 
ancelot alikuwa kocha mzuri sana kwa upande wangu, na madrid walikuwa wakicheza soka la kuvutia sana kipindi chake ila kwa huyu bwana benitez sijuiiiiiii!!!!!

mkuu mimi mwenyewe simuamini kabisa huyu jamaa sijui perez amefikiria nini juu ya hili mimi nilijua atatuletea kocha mwenye rekodi kubwa zaidi ya ancelot
 
alisema anataka kocha anaejua kihispaniola hio ndio sababu
 
Daaaa kiukwelii sitegemei chcht kutokaa kwake nazani Ronaldo anaweza kuwa juu yk asipokuwa makinii
 
Benitez, anaijua vizuri Real Madrid na soka la Hispania analijua vizuri.

Benitez, amekuwepo hapo Madrid muda mrefa sana ndiyo alikuwa msaidizi wa Vicent alipokuwa kocha kipindi hicho Madrid wapo sawa sawa.

Kafundisha timu nyingi La liga pia.
 
Nategemea atafukuzwa mara baada ya msimu ujao kuisha
 
Hana miaka mingi, hatakuwa bernabeu tena... Madrid sio dhamana kwa makocha
 
Wadau na wapenzi wa soka mnamuongeleaje huyu jamaa? Kwa upande wangu simuamini sana labda wajuzi wa mambo mnaweza kunifungua kidogo katika hili nawasilisha na karibuni sana
Msome Vicente del Bosque anamuelezeaje Benitez, na sifa alizompa alikuwa msaidizi wake.
 
Barcelona wameshangilia sana ujio wa benitezi,naiona madrid ikifungwa hata na real sociedad
 
Ahahahahaahahaha ni shangwe kwa kwenda mbele Mkuu, karibu Barca!!!

madrid kwa huyu kocha iko hatihati kushiriki uropa vinginevyo wawai kumtimua
 
Banitez sio mzuri sana. Timu yake ya sasa ya Napoli imeshindwa hata nafasi ya pili ya Serial A

Anceloti pekee ndie angeiweza Barca ya Suarez, Messi na Neyman

Sina uhakika kama Banitez ataweza kuwaweka pampja mastaa wa Barnabeu labda wakurugenzi wao waliona jambo
 
Kwelii mkuu mimi na hofu na hao mastaa sijui kama ataweza ku waweka pamojaaa
Hofu yangu yasije kumkuta ya moyez..
 
mi nategemea makubwa kutoka kwake hasa nikikumbuka mafanikio aliyoyapata chelsea na liverpool
 
Back
Top Bottom