Babchabi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 1,745
- 777
akishaanza kupigwa mechi 2 tuu washabiki wa real wataanza kusema rafa out bora ancelotti mara 100 wamemfukuza tuu bure alishaiweka timu na adabu ule ugomvi wa kupigana ulisha pungua na hata kwenye elcassico za mara hii tumeona hakukuwa na ule ugonvi ramos na pepe aliwafunza adabu ila hilo real wao hawalitaki wamesha zoea fujo na anceloti yee ni mkimya ila ni kocha mzuri na mwenye adabu na anae ijua kazi yake watamjutia kumtoa