Benitez ndani ya real madrid unategemea yapi kutoka kwake?

akishaanza kupigwa mechi 2 tuu washabiki wa real wataanza kusema rafa out bora ancelotti mara 100 wamemfukuza tuu bure alishaiweka timu na adabu ule ugomvi wa kupigana ulisha pungua na hata kwenye elcassico za mara hii tumeona hakukuwa na ule ugonvi ramos na pepe aliwafunza adabu ila hilo real wao hawalitaki wamesha zoea fujo na anceloti yee ni mkimya ila ni kocha mzuri na mwenye adabu na anae ijua kazi yake watamjutia kumtoa
 
Hivi malinzi hawaoni makovha kama hawa waje kufundisha stars
 
mkuu chama letu barca hata ukipewa wee timu utaweza kuindesha 1. pale kuna heshima cha kwanza kabisa unafundishwa adabu umemuona suarez si yule suarez wa liverpool 2. hakuna ubossi watu wote sawa kutoka kipa mpaka captain. na real hawako hivyo c.ronaldo akihamaki kidogo basi mara kocha anafukuzwa na casila nae akikasirika kocha kibarua kinaota nyasi barca hawako hivyo hata kama kuna mgogoro goma litazimwa kimya kimya ronaldo akinyimwa pasi na bale hasira tayari na barca neymar akijifanya chenga nyingi na akapoteza mpira au akamnyima messi pasi watu kimya na makofi anapigiwa neymar !!!! neymarr !!! neymar!!!
 
Kwa msiojua Benitez ni mtoto wa Madrid na karudi nyumbani...

Kama mnamkumbuka Del Bosque basi huyu walikuwa pamoja na Benitez enzi hizo...

 
Benitez hana mbinu mbadala kwenye mpira ni km rogers wa liverpool....na wale mastaa wa madrid na tabia zao dont touch,,,,mbna madrid itawachukua tena miaka kumi kilitafuta uefa,km msimu huu wameshinda mechi kumi na tisa mfululizo na kakosa laliga,,,sasa sijui benyez atakuja na kipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…