Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 631
- 592
Pamoja na majigambo yoote, ubingwa hawajachukua hata siku moja, Ihefu inawatoa jasho, kinachojitokeza ni kukamia timu kubwa basi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna utofauti mkubwa hapo,sisi tulipania mechi ili kupata pointi tatu tulizodhamiria kuzibakiza nyumbani kama tulivyo ahinisha kwenye mpango mkakati wetu kuelekea nusu fainali,na hatujapania mechi ili tuonekane tumeifunga Al ahly.Kama na nyinyi mlivyowakamia Al Ahly! Au siyo
Mechi ya kwanza prison1-0 simbaWapo nafasi ya ngapi na gwaride lao? hamna lolote wapania mechi tu hao.
Sio sisi sema "mimi" ulichokiandika sijui hata kama umekielewa.Na kujiangusha na kulala lala chini wanafundishwa pia jeshini? Halafu aseme jeshi la magereza sio jeshini. Ukisema Jeshini sisi tunajua JWTZ!
Kwani wao ni kina nani?😂😂😂 eti maaskari jela nao wanajiita wanajeshi
Mazoezi yenyewe ndio haya?Benjamin Asukile ''Sisi hatuna pira biriani sisi tunapiga gwaride na sasa tumeongezea kwata kidogo, jeshini hakuna urembo wala biriani. Hatuiwezi biriani itatupalia tu ndio maana tunacheza mpira wetu wa uhalisia wa jeshi sababu mazoezi ya jeshi ndivyo yalivyo kwahyo inatubidi tucheze kwa jinsi mazoezi yetu tunayofanya ya kijeshi.
Nadhani hauhuzurii mazoezi yetu, Mazoezi yetu ni zaidi ya mechi. Hatumfokei bali tunamhamasisha sisi jeshini hakuna kufokeana bali tunamhamasisha ,kauli ya jeshi ni nzito siku zote sio nyepesi"
Mlinzi na nahodha wa Tanzania prison Benjamin Asukile akijibu swali kuwa pale mchezaji wao anapofanya kosa wanaonekana kama wanaenda wengi kwenda kumzonga na kumfokea.
Mechi ya kwanza prison1-0 simba
Mechi ya pili simba 1-1 prison
Msimu ulioisha
Simba 0-0 prison
Prison 0-0 simba
Wamesuluhu na yanga na azam pia
Benjamin Asukile ''Sisi hatuna pira biriani sisi tunapiga gwaride na sasa tumeongezea kwata kidogo, jeshini hakuna urembo wala biriani. Hatuiwezi biriani itatupalia tu ndio maana tunacheza mpira wetu wa uhalisia wa jeshi sababu mazoezi ya jeshi ndivyo yalivyo kwahyo inatubidi tucheze kwa jinsi mazoezi yetu tunayofanya ya kijeshi.
Nadhani hauhuzurii mazoezi yetu, Mazoezi yetu ni zaidi ya mechi. Hatumfokei bali tunamhamasisha sisi jeshini hakuna kufokeana bali tunamhamasisha ,kauli ya jeshi ni nzito siku zote sio nyepesi"
Mlinzi na nahodha wa Tanzania prison Benjamin Asukile akijibu swali kuwa pale mchezaji wao anapofanya kosa wanaonekana kama wanaenda wengi kwenda kumzonga na kumfokea.
Sio sisi sema "mimi" ulichokiandika sijui hata kama umekielewa.
Nini maana ya mkuu wa majeshi? na kwanini isiwe mkuu wa jeshi? Na hayo majeshi ni yapi?
Za wafanya biashara lazima wauze na wanunue mechiMnakoelekea na timu za viwanda nazo mtataka zianzishe Ligi zao. Timu za wafanyaniashara nazo, timu binafsi nazo.
Unakielewa ulichokiandika hapa?Magereza sio jeshi ni askari
Bahahahahaha!wa magereza kama walivyo askari wa makampuni ya ulinzi.
Magereza wana kambi yao ya maafisa wa daraja la kwanza ipo Kiwira, Tukuyu mkoani Mbeya!Magereza sio jeshi ni askari wa magereza kama walivyo askari wa makampuni ya ulinzi.
Kwata urojoAfadhali ya Simba kapigishwa kwata na maafande kuliko wale jamaa waliopigishwa kwata na watu wa mahaba Coastal Union.