Benjamin Fernandes Ni nani?

Benjamin Fernandes Ni nani?

Ndio huyu kumbe!!!
hahaa kwani ulikuwa haumjui"" ?

alichokisema mtoa mada kikowazi kabisa...sasa hivi huu nimwaka wa 3 sasa tangu arejee bongo lakini vitambo vyake nivile vile tu kuwa kasoma Harvard na amekataa kazi yenye mshahara wa m.400"""
 
hahaa kwani ulikuwa haumjui"" ?

alichokisema mtoa mada kikowazi kabisa...sasa hivi huu nimwaka wa 3 sasa tangu arejee bongo lakini vitambo vyake nivile vile tu kuwa kasoma Harvard na amekataa kazi yenye mshahara wa m.400"""
Mkuu unaifahamu milioni 400 kweli?? Huyu ni mwongo kama waongo wenzake...
 
Muongo tu kama vipi aoneshe huo mkataba wa kazi, ina maana ana capital kiasi gani cha kuanzisha biashara na kukataa mshahara mkubwa kiasi hicho. Hawa ndiyo huwa wanarubuni vijana na mikutano yao ya motivation ambayo practically haiendani na hali halisi
Waongo hao mkuu, wanawapa watu theory wakati kwenye reality game lipo very tough
 
Huyu jamaa ni fiksi sana haingii akilini kukata mshahara wa M 400 kwa mwezi na unarudi bongo hakuna Cha maana chochote ulichofanya tukaona M 400 ni hela nyingi sana. kama Median household income ya U.S.A is around U.S.D 50,000 annually
 
Kama angekuwa amesoma undergraduate hapo Harvard au Stanford basi angeimba sana.
Wapo vijana kibao wanaopiga degree ya kwanza hapo tena wakitokea huku mashenzini direct.
Huyu alienda US kufanya undergraduate chuo kingine na ndio akapata hiyo Graduate school hapo Stanford, kwahiyo sio kwamba ni exceptional sana.
Kingine kinachomfanya anaonekana sana ni media, wao nyumbani kwao ni wamiliki wa ATN media ambayo inamfanya kuonekana na kujipeleka kwengine.
Kwakuwa sina ridhaa ya kuwataja kwa majina vijana waliopo hizi ivy league colleges, basi itambulike tu huyu sio wa kwanza na hana mafanikio makubwa kuwazidi wengine ambao kuna waliobakishwa Harvard na kuna aliowakuta pale Stanford wakipiga Engineering na madude magumu sema wapo kimya sana.
Kuna wakati unamsikia akisema anaona faraja kuwaona vijana wengine wakipata nafasi Harvard na Stanford kana kwamba yeye ndio alikuwa wa kwanza, hata vijana wenzake aliowakuta pale watakuambia huyu jamaa anapenda camera.
Ana mengi mazuri sema kujikweza amezidisha.
Ukitaka kujua baadhi ya vijana wetu waliopo huko pitia pale TanSao utawaona wengi tu.
 
Huo mshahara alioukataa wa M400 ni kwa mwezi au mwaka? na Kama ni kwa mwezi atakuwa muongo ana elimu gani ya kumfanya alipwe pesa yote hiyo!?. Aache kutafuta kiki ajaribu kufanya kitu ambacho ni productive ili iwe chachu kwa vijana wengine.
 
Kwa kweli huwa nashangazwa na nguvu iliyotumika kumpromote huyu ndg.
Labda kuna Watanzania mnafaudu
 
Kuna seminar moja nimeattend hapa mjini nikamkuta huyu kijana kaalikwa akaongea kwa kiasi chake tena kwa confidence ikabidi nimsearch gooogle ndo nikakutana na haya..

alivooongea tu nkaona kitu kimoja Kwanini vijana wa Kitanzania tunapenda ujiko kuliko kazi, ni shida sana kwetu. Huyu jamaa aliongea kidogo nikanote hicho, Sidhani kabisa kama ni Mtanzania wa kwanza kusoma Harvard maana mtoto wa karamagi anasoma Harvard na kuna watanzania kibao hapo...Harvard, Princenton na Standford kuna mwaka nilikaribishwa na waTanzanzania wa Princeton nilivoenda kuattend seminar flani kikazi.. na ukisoma hizo shule unapewa internship kwenye kampuni za alumni ambae Gates ni Alumni... Pia ukipewa scholarship yeyote ya marekani na state lazima urudi Tanzania miaka miwili kuimplement ulichojifunza...ila maujiko ya huyu kaka sio ya dunia hiii sio kitu cha kutamba kwamba umemaliza harvard stanford...SO what? Mimi kama mtanzania nanufaika nini na hilo? wapo watu wamesoma no. 1 engineering college in the world na kazi mpaka leo hawana.
Sasa na kama Benja na entrepreneurship skills training anafanya..sasa unamtrain nani na wewe entrepreneurship bado hujaingia?
Vijana wa kitanzania mliofika mbali inabidi muwe makini sana na matendo yenu msitumie kupotosha watu au kuuza sura. Taifa linawategemea. Kama Benja yuko very smart am sure anaweza anzisha kitu kuajiri vijana na kuwamotivate au kusolve tatizo la ajira. Hampewi scholarship au hampelekwi kusoma ili mrudi kusema mlisoma, mnapelekwa mrudi mlete mambo mapya mfungue biashara msaidie jamii zinazowazunguka, leteni maendeleo jamani fungueni dunia kwa vijana wenzenu. Muwe mifano.. haitoshi kwamba mlisoma..tumieni elimu yenu... hata kwenye ajira.

Benjamin Fernandes

Benjamin Fernandes speaking at Harvard Business School
Born 25 November 1992
Residence Dar es Salaam, Tanzania
Nationality Tanzanian
Alma mater University of Northwestern - St. Paul (B.A.) Stanford Graduate School of Business (M.B.A.) John F. Kennedy School of Government (Exec.)
Occupation The Bill and Melinda Gates Foundation
Awards Africa MBA Fellowship, MBA World Summit, Top 15 Most Influential Tanzanians
Benjamin Fernandes (born 25 November 1992) is a Tanzanian award-winning speaker and national television personality. He worked at The Bill and Melinda Gates Foundation in the United States in their Digital Team and Financial Services team. He is the first[1]Tanzanian to attend Stanford Graduate School of Business as an Africa MBA Fellow [2] and the youngest African to ever be accepted to Stanford Graduate School of Business. In 2017, Fernandes became the first Tanzanian in history to attend both Stanford Graduate School of Business and Harvard John F. Kennedy School of Government for an executive education program
In 2016, Fernandes worked at the Bill and Melinda Gates Foundation in Seattle, Washington before returning to his final year of business school at Stanford Graduate School of Business.[13]
On June 17, 2017, Fernandes graduated from Stanford Graduate School of Business and decided to return home to Tanzania. A decision that stunned many Tanzanians given his potential salary offerings in the United States. Stanford Graduate School of Business has the highest post MBA Salary than any other school in the world. In the year 2016, the lower average salary offering for a graduating student in 2016 was TSH 418 Million ($179,346).[16] This decision to return home was covered all over the press in Tanzania, initially through a viral interview video by MillardAyo,[17] mentioning his potential salary offerings he could've gotten in the United States which was shared across the country, then making the front page of national newspaper, Mwananchi.[18]

From the 7 Africa MBA Fellows of the Stanford MBA Class of 2017 class, Fernandes is the only African who has decided to return home to his home country immediately full-time.

Fernandes has made a commitment to serving Tanzania with interest in financial services and supporting Tanzania’s young and youthful population.
Since returning home, within 200 days, Fernandes has held 26 seminars on entrepreneurship in 4 different regions across Tanzania, with over 22,000 people in cumulative attendance.[
Baba yake ana kanisa anakula tu sadaka bure
 
Mbona umeandika kwa wivu kiasi hicho?Acha gubu mkuu!!
 
Mbona umeandika kwa wivu kiasi hicho?Acha gubu mkuu!!
Kama wewe umeona me nina wivu kumshauri kijana mwenzangu kwamba ana uwezo mkubwa na anaweza kufanya zaidi ya anachofanya sasa basi nahisi una shida kichwani
 
Kaacha million Izo coz Mzee wake anamawe ya kutosha. Tuseme Ndo angekuwa ametoka kwao uko Samunge Au Nyakibimbili Au Akeri Au Buza Au Kigongoni familia duni unadhani angetoka USA Au kukataa mapene hayo eti kisa mapenzi na nchi yake nooooooo
 
Ninachokiona kwa Benjamin ni kama anahangaika ku-prove uzalendo wake kwa Tanzania!

As a Tanzanian of first generation, huku akiwa na Kiswahili kibovu (au cku hizi ame-improve?) ni kama anahisi watu watakuwa wanamuona ni "Mzungu" tu!!
 
Back
Top Bottom