1. Kwani yeye Netanyahu alikwambia anataka kaburi lake lijazwe mchanga? Usikariri, wengine huchomwa moto na wengine wanatengenezewa nyumba mwili unashushwa humo
2. Kufa vibaya ni uchaguzi wake na Mungu wake. Nani alikuambia anataka kufa vizuri? Aliapa kwa Mungu na katiba yake, kama kiongozi wa nchi, asingeacha kuona wananchi wake 1,200 wanauawa na wengine kutekwa na mtekaji yupo jirani achekee. Atawamaliza magaidi na watoto wao, hii ni vita, huwezi kunichokoza halafu ukajifiche kwenye magauni ya wanawake ukitegemea kelele za majirani na viongozi wa mtaa. Nitambinua mkeo na kuwafagia wote baada ya hapo sasa tutakaa na serikali ya mtaa kujadili habari ya kwanini nimembinua na kutengua viuno vya akina mama wakati huo wewe na mke wako mmeshasafiri. Tuishi kwa kuheshimiana na upendo.
3. Kwahiyo mgambo wa Hamas hawavai uniform wakijua wakichanganyika na watoto, wazee, wanawake, wajawazito, vikongwe, waandishi wa habari, manesi na madakatari ndio pona yao? Netanyahu anafyeka kila kituo cha afya, kambi za wakimbizi, magorofa, shule na kila eneo analohisi magaidi yapo au yana uwezekano wa kuwepo.
Waliowachagua Hamas basi ndio wanaolipa gharama ya kura zao. Mwisho wa siku Gaza haitabaki kama ilivyokuwa awali kabla ya Oktoba 17, 2023