Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon

Naam, mpambano ni mkali sana hapa mpakani mwa Lebanon na Israel.
Wanamgambo wa kikosi maalum cha JF wameingia na kubadili upepo kabisa.
Wamekuja na missile za maangaminzi kabisa. Anga lote limetanda milio ya ving'ora.
 
Basi sawa Naslallah aendelelee kukataaa
Kitamkuta kilichowakata Gaza
Naonea Huruma walebanoni kuwaunga mkono magaidi

Wachukue picha kabisa za miji yao maana zinaenda kuwa magofu wakiendeleza kiburi kwa Israel
Ghaza kuneqakutabkioyw amacho hakijawahi kuwakuta miaka 75 iliyopita?

Kama. Ykikus huelewi, hao hnaowsona Ghaza leo hii, wengi wao walihamishiwa kwa nguvu baada ys kusambaratishqs bijiji vyak vys asili.

Ni hayo hayo kwa Hezbollah.

Labda huelewi kuwa Hezbolksh ni qakimbizi wa Kipalestina, waliobomokewa. Miji yao na kuanza kukaliwa na mazayuni.

Adilimia nyingi pia wapo Jordan , wapo Syria, wspo Iraq na wapo nchi nyingi za Kiarabu na duniani.
Msifikiri Hezbollah wanabahatisha. Wanagombania haki yao.
 
Kuwashawishi wenye nguvu na akili kukaa upande wako na wewe ni mwenye Akili pia
Kwanini wasiwaunge mkono wengine
Hawahitaji hata kuwashawishi, hao ndiyo waliwahamishia kutika Ulaya na kuwaweka hapo Palestina. Waliwaahidi watawalinda.
Tena kwanza ilikuwa wahamishiwe Uganda.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hivi kobazi ahadi yenu ya kuifuta israel itatimia lini maana naona nyie ndio mnafutwa naona jinsi makamanda wa Allah wanapukutishwa
 
Kati ya anayelalamika hajapewa silaha na yule anayelalamikiwa hajatoa silaha,nani anaomba!?
Kulalamika ndio kuomba mkuu?

Siku hizi umesahau maana ya kuomba siyo?

Pana tofauti kubwa mno mkuu kati ya kulalamika na kuomba
 
Aiseee kweli hangover mbaya!
Namuangalia Netapaka hapa live yupo UNGA anahutubia saaahzi...yaani anapuyanga tu mixer kuja na ramani zake za blessing na disaster sijui🤣🤣🤣....kakusanya na kikundi chake cha kumpigia makofi kabisa....mara ajipendekeze kwa Saudia Arabia....na kuwakilishi wa Saudia amekula Kona alivyoona msela anaingia kwnda kuhutubia....anajikaza kuhutubia waliobaki wanamuangalia tu
 
Jamaa ni clown huyo
 
Jamaa ni clown huyo
Nilipoona kaingiza na mambo ya beheaded people mara watoto walichomwa moto...sijui watu walibakwa nikawa najiuliza hyu mwamba washauri wake hawamuambii kwmba huo uongo umedunda Kila mtu duniani kaukataa....hapo ndo nikaona kwli ukiwa unaelekea kwny anguko lako basi wakati mwingine huwa unakuwa mbishi bila sababu...ramani Kila siku kama teacher wa geography....Iran hawakauki mdomoni kwake🤠🤠....maneno mazurimazuri kwa Saudia sijui wasaini mkataba wa amani middle east yte itakuwa na neema....wakati Saudia tangu mwanzo kamwambia hakuna mkataba utasainiwa mpk Palestina liwe taifa kamili kwa makubaliano ya 1967....Sasa sijui hyu jamaa anakwama wapi....yy apigane vita mpk mwsho lakini mambo ya uongouongo tena wa aina ileile Kila siku unazidi kumuonesha ni zuzu Fulani....hata hao wanaombeba watamchoka kuna siku maana anaonekana yupo nyuma ya mda kiukweli
 
Kuna watu niliwaambia humu ndani Netanyahu ndiye anayetaka vita iendelee kuokoa uso wake kisiasa na uongozi.
Ila watu washaona vita anazoziendeleza hazina maana tena.
 
Cairo summit/Arab peace summit naona imefanya kazi.
Maana toka hivyo vikao vikalike mwaka jana vimeonesha uhalisia wa Israel na mataifa mengi hadi ya Ulaya yamemtema Israel kabisa.
Kuna wakati unaona USA analazimisha kumtetea ilhali kadamnasi imeshamkataa.
 
Hivi kobazi ahadi yenu ya kuifuta israel itatimia lini maana naona nyie ndio mnafutwa naona jinsi makamanda wa Allah wanapukutishwa
We jamaa ukishashibaga makande huwa una tabu sana.
 
Qatar kafanyaje?.. unaandika tu, israel si ndiyo babe la ujasusi duniani,mgunduzi wa silaha hatari,jeshi imara kuliko yote,ilipiga waarabu wote,kumbe bila msaada hola
Kwamba hujui uhusika wa Qatar kweny hii vita ? Au kisa kajitoa ndo unasahau yeye ndo muasisi wa haya yanyoendelea Sasa hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…