kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Sisi tulisema hapa Israel huwa hacheki na kima.Muda kidogo uliompa umekwisha. Mwambie asome up to date info. za Hezbollah vs Israel. Tayari wanalia sana na kusaga meno na wamechanganyikiwa huko Beirut.
Ndio kwanza anaanza hapo mpk mji uchakae.