Sisi tulisema hapa Israel huwa hacheki na kima.Muda kidogo uliompa umekwisha. Mwambie asome up to date info. za Hezbollah vs Israel. Tayari wanalia sana na kusaga meno na wamechanganyikiwa huko Beirut.
Kweli leo ijumaa, umeanza weekend mapema sana.Ghaza kuneqakutabkioyw amacho hakijawahi kuwakuta miaka 75 iliyopita?
Kama. Ykikus huelewi, hao hnaowsona Ghaza leo hii, wengi wao walihamishiwa kwa nguvu baada ys kusambaratishqs bijiji vyak vys asili.
Ni hayo hayo kwa Hezbollah.
Labda huelewi kuwa Hezbolksh ni qakimbizi wa Kipalestina, waliobomokewa. Miji yao na kuanza kukaliwa na mazayuni.
Adilimia nyingi pia wapo Jordan , wapo Syria, wspo Iraq na wapo nchi nyingi za Kiarabu na duniani.
Msifikiri Hezbollah wanabahatisha. Wanagombania haki yao.
Ndio - Uko sahihi mkuu. Hakuna mtu hapa duniani anayejua kila kitu. Ndo mana hata ww hujui ni kwa nini IDF hawajawafuata huko kwenye vichuguu walikojificha na kuwasambaratisha. Kwa mantiki hiyo, hatuchekani broo. ila tunazidiana tu viwango vya ujinga tulionao au sio jamani.Wewe ni mjinga
Eee kweli hata mm nimeona.Kweli leo ijumaa, umeanza weekend mapema sana.
...... Kwa mujibu wa redio mbao ya masjid ubwabwa.Mazayuni ni waongo wa ajabu.
Mabwana zao USA, Uingereza na Ufaransa ndiyo waliotaka ceasefire.
Nasrallah kawagomea, kawaambia sababu yetu inajulikana, nayo ni mazayuni waache kuua wanawake na watoto Ghaza.
Mkuu, Netanyahu kauli yake sio ya kitisho ni kweli na utekelezaji tayari umeanza na unaendelea- huko Beiruti hakufai-HAKUFAI KABISA nI vilo na kusaga meno. Mashuhuda wanasema haijawahi kutokea.Netanyahu kauli yake ya kusema wanajiandaa kwa ground invasion nchini Lebanon, ni kauli ya kitisho.
Mkuu wa majeshi wa Israel niliona akiwaambia IDF operation inayoendelea hivi sasa ya air force ni kufanya maandalizi ya wao kuingia ardhi ya Hezbollah kijeshi.
Kauli hio ina maana wataishambulia Lebanon kama ilivyo Gaza, halafu wataingiza jeshi la ardhi, ni kauli ya kitisho kwamba wataua raia Lebanon kama ilivyo Gaza.
Hii itapelekea jumuiya za kimataifa na serikali ya Lebanon kuomba kusimama kwa vita.
Netanyahu kauli yake ina uoga ndani yake na vitisho, lakini ni kauli inayoomba suluhu.
Cause infantry hata Netanyahu anajua na ni siri yake kwamba vijana wake wa IDF hawatofua dafu mbele ya Hezbollah zaidi watauawa.
Leo Ijumaa, Central commanding Headquarters ya Hezbollah imekwenda na maji. Cjui kama Nasrallah kanusurika au vipi....... Kwa mujibu wa redio mbao ya masjid ubwabwa.
Sikushangai, ndiyo juishiwa kwenyewe huko........ Kwa mujibu wa redio mbao ya masjid ubwabwa.
Ndio maana nakuambia hivyo...Mkuu, Netanyahu kauli yake sio ya kitisho ni kweli na utekelezaji tayari umeanza na unaendelea- huko Beiruti hakufai-HAKUFAI KABISA nI vilo na kusaga meno. Mashuhuda wanasema haijawahi kutokea.
Uoga Gani wed zmtu kashalipa Beirut huko wewe unaongea kwenye keyboard hahahaha unafikili ngoma rahisi kupambana na myahudi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Netanyahu kauli yake ya kusema wanajiandaa kwa ground invasion nchini Lebanon, ni kauli ya kitisho.
Mkuu wa majeshi wa Israel niliona akiwaambia IDF operation inayoendelea hivi sasa ya air force ni kufanya maandalizi ya wao kuingia ardhi ya Hezbollah kijeshi.
Kauli hio ina maana wataishambulia Lebanon kama ilivyo Gaza, halafu wataingiza jeshi la ardhi, ni kauli ya kitisho kwamba wataua raia Lebanon kama ilivyo Gaza.
Hii itapelekea jumuiya za kimataifa na serikali ya Lebanon kuomba kusimama kwa vita.
Netanyahu kauli yake ina uoga ndani yake na vitisho, lakini ni kauli inayoomba suluhu.
Cause infantry hata Netanyahu anajua na ni siri yake kwamba vijana wake wa IDF hawatofua dafu mbele ya Hezbollah zaidi watauawa.
Hezbollah wameshaisha hapo labda uende wewe ukashambulie wenzio Kila siku wanakufa nenda wewe ukawe Hezbollah wakunyonye mavi 🤣🤣🤣🤣🤣Ndio maana nakuambia hivyo...
Je unadhani itakuwaje Hezbollah wakianza kushambulia full force kuipiga Tel Aviv na miji mingine?
Ndipo nakuambia hii vita Netanyahu ni kauli.
2006 walipiga hadi kituo cha Tv, baada ya dkk kadhaa kituo kikaendelea kurusha habari ... Hezbollah sio mchezo..Leo Ijumaa, Central commanding Headquarters ya Hezbollah imekwenda na maji. Cjui kama Nasrallah kanusurika au vipi.
Hahahaha et Hezbollah sio mchezo unaongelea historia wakati wenzio wako ground leo nenda wewe ukawasaidie wenzio wameshaisha huko Kila siku vichapo Toka hapo panda mwewe uende ukawasaidie Hezbollah sio kuongea nyuma ya keyboard huku wenzio wanateketea🤣🤣🤣🤣🤣🤣2006 walipiga hadi kituo cha Tv, baada ya dkk kadhaa kituo kikaendelea kurusha habari ... Hezbollah sio mchezo..
Rejea kusoma vita ya 2006, Israel walipiga maeneo yote ya Hezbollah kwa muda mchache hadi wakasema hawaoni pa kupiga tena, wakasema wamesamvaratisha mizinga yote ya silaha, wamepiga site za missiles... wakatangaza na ushindi ...Uoga Gani wed zmtu kashalipa Beirut huko wewe unaongea kwenye keyboard hahahaha unafikili ngoma rahisi kupambana na myahudi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwenda mi kusaidia ni kuionea Israel, Hezbollah inawatosha na zaidi..Hahahaha et Hezbollah sio mchezo unaongelea historia wakati wenzio wako ground leo nenda wewe ukawasaidie wenzio wameshaisha huko Kila siku vichapo Toka hapo panda mwewe uende ukawasaidie Hezbollah sio kuongea nyuma ya keyboard huku wenzio wanateketea🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nenda Sasa kwapambanie hao Hezbollah wanajeshi wao wameisha sio unaongea humu tu eti Hatari wakati wenzio wameisha unafikiri Vita ni maneno ya mdomoni ingia ground ulicheze gomaKwenda mi kusaidia ni kuionea Israel, Hezbollah inawatisha na zaidi..
Ndio maana nakuambia hata askari mmoja kuongezeka Hezbollah ni kuwaonea Israel, Israel hapo ilipo imejichokea, Hamas imewachosha...Nenda Sasa kwapambanie hao Hezbollah wanajeshi wao wameisha sio unaongea humu tu eti Hatari wakati wenzio wameisha unafikiri Vita ni maneno ya mdomoni ingia ground ulicheze goma
Wangekua wanatisha hai viongozi wasingekufa Kila siku kama kiki wa mdondo hao Hezbollah hamna kitu nenda wewe ukawasaidie usiongelee kwenye keyboardRejea kusoma vita ya 2006, Israel walipiga maeneo yote ya Hezbollah kwa muda mchache hadi wakasema hawaoni pa kupiga tena, wakasema wamesamvaratisha mizinga yote ya silaha, wamepiga site za missiles... wakatangaza na ushindi ...
Kilichotokea ilikua kilio kikuu...
Huijui Hezbollah...
Hao jamaa hawakurupuki, hawaendeshwi na akili za hisia, ni wapiganaji kweli wenye mafunzo si tu kijeshi hata kisaikolojia, wanaelewa wanakabiliana na adui wa namna gani anayewaza vipi...
Mtakuja kushangaa hapa maajabu ..
Unasubiri nini kwenda kuwatanguliza we Israel mbele ya haki maana unawajua vizuri wenzio Hezbollah wamewashindwa Kila siku wanaisha tena viongozi wqkubwa🤣🤣🤣🤣🤣Ndio maana nakuambia hata askari mmoja kuongezeka Hezbollah ni kuwaonea Israel, Israel hapo ilipo imejichokea, Hamas imewachosha...