hakuna nchi isiyo na wafadhiri au wa kusaidiana nao na kusaidiwa na maswahiba wako si kosa na si unyonge, na utambue dunia imegawanyka kwny sera 2 sera ya ubepari hapa ndo kuna kna USA, ULAYA, ISRAEL, nk nk hawa wanaendana kwny mambo mengi na mara zote huwa hawaelewan na tawala za waarabu na hki ndcho chanzo cha waarabu baadhi yao na waislam koko wa uku africa kuwachukia wazungu, na kuna sera ya ujamaa humu ndmo kuna urusi, china, venezuela, cuba, north korea nk nk hawa wanapendwa sn na waarabu sbb wao tawala zao ni za kidkteta znaendana na tawala za kiarabu hakuna demokrasia na ndcho chanzo cha waarabu na waislam koko kufungamana nao ila hawajui kama hao siyo waislam na wala hawafungaman na uislam.Wewe ni wakuonewa huruma tu,unaonekana maisha yamekuchanganya sana.
Tunaongelea nchi kisha wewe unatoa mifano ya vikundi! hivi una elimu gani?
Unionee huruma kwani mimi Mmeo??Wewe ni wakuonewa huruma tu,unaonekana maisha yamekuchanganya sana.
Tunaongelea nchi kisha wewe unatoa mifano ya vikundi! hivi una elimu gani?
Kumbe hata hukuelewa hoja yangu! sikiliza Binti,huyo unayemuabudu hawezi hata kutupa jiwe bila kupata ruhusa kutoka kwa mfadhili wake coz hua anataka kuhakikishiwa usalama wake kwanza kabla hajaanza uchokozi.Unionee huruma kwani mimi Mmeo??
Kila nchi au vikundi wana mfadhili kama Russia tu ambaye ni Supa Pawa anasaidiwa na nchi kibao utasemaje kwa Israel?
Jeshi la mtu mmoja analilia silaha na dola za USA!?
Mkuu hivi unajua kua Iran ipo kwenye economic sanction kwa miaka mingapi?Wewe inaonekana hujui kabisa uhusiano kati ya Israel na Marekani:
Ufahamu kuwa Marekani ni taifa pacha la Israel.
Idadi ya wayahudi waishio Marekani ni karibia sawa na idadi ya wayahudi waishio Israel.
Wayahudi waliopo Marekani, karibia wote wapo maeneo muhimu ya tekinolojia, Sayansi, uvumbuzi na uchumi.
Kuna miradi ya ushirikiano katika tekinolojia kati ya Israel na Marekani.
Ndiyo maana kinachotolewa na USA kwenda Israel, hakihesabiki kama msaada bali wajibu wa ushirikiano.
Wajibu wa kifedha wa Marekani kwa bajeti ya jeshi la Israel ni dola bilioni 3 kwa mwaka. Huo ndio wajibu pekee wa Marekani kwa Israel. Israel haipokei msaada wowote wa kiuchumi au maendeleo ya jamii toka Taifa lolote Duniani. Uchumi wa Israel ni karibia mara 6 ya uchumi wa Tanzania, na karibia mara 2 ya ule wa Iran, licha nchi ni ndogo sana, na population yao ni ndogo sana. Ukilinganisha utajiri halisi wa Israel, ni karibia mara 70 ya ule wa Tanzania.
Tanzania per capita USD 1,160
Iran per capita
USD 4,075
Israel per capita
USD 60,009
2025 Total GDP Iran bilion $356. Mwaka 2010 ilikuwa bilioni $600. Iran inaenda kaburini1
Total GDP Israel bilion $610.75. Israel mwaka 2010 ilikuwa bilioni 238.9.
NB: Israel inazidi kupaa, Iran inazidi kudidimia. Kwa mwenendo wa Iran, kama hakutakuwa na mabadiliko, uchumi wake mwaka 2035, utakuwa sawa na huu wa Tanzania kwa sasa. Hapa ndipo Ayatollah alipowafikisha.
Endeleeni tu kujifariji lakini safari hii Hamas,Hezbollah,Houth na Bwana wao Iran wamenyooshwa vizuri sana.Kasaidiwa kila kitu kuzichapa na Hamas amechemsha ndio atawaweza wairani?
Sasahivi amebaki kubweka tu eti Hamas wanyang'anywe siraha. NONSENSE. Anafikiri hamas ni mafala
Kuhusu Iran, kamsomesha mfadhiri wake eti iran hiachane na uzalishaji wa makombola. Pumbafu sana hawa waisrael
Kwahiyo baada ya makamanda kuuwawa, makopro waliendeleza kichapo mpaka Netanyau akaomba poo🤣🤣Endeleeni tu kujifariji lakini safari hii Hamas,Hezbollah,Houth na Bwana wao Iran wamenyooshwa vizuri sana.
Sasa hivi Magaidi wa Hezbollah wanapigwa kama Ngoma huko Lebanon na hawawezi kurusha hata jiwe moja kuelekea Israel maana wanajua kitakachofuatia.
Bwana wao Iran naye June 13,2025 alipewa kipondo kiliendelea kwa siku 12 mpaka June 24,2025 Jeshi la Iran liliachwa uchi wa Mnyama kwa makamanda wake waandamizi 70 na watu wengine zaidi ya 1,000 kuuwawa hiyo tu inaonyesha ni jinsi gani Jeshi la Iran lilivyo dhaifu mbele ya IDF.
hujui kitu kwasababu hujasoma, haya yanayotokea yalishaandikwa. Ni suala la muda tu yatokeeNaona leo umelala bila kuchamba!!
Akili matope kama hizi ndizo zinazowafanya waarabu waendelee kupigwa kama ngoma na Israel!!!!
Kwahiyo baada ya makamanda kuuwawa, makopro waliendeleza kichapo mpaka Netanyau akaomba poo🤣🤣
Endelea kusubiri Nazi idondoke kwenye mti wa members au ukojolee baharini harafu utarajie maji ya bahari kubadirika!!hujui kitu kwasababu hujasoma, haya yanayotokea yalishaandikwa. Ni suala la muda tu yatokee
Waislam tunaamini kuwa Yesu atarudi tena duniani toka alipopaishwa kwenda mbinguni miaka 2000 iliyopita...Ukifa leo haina maana ya kuwa hili jambo halitakuja kutokea...Endelea kusubiri Nazi idondoke kwenye mti wa members au ukojolee baharini harafu utarajie maji ya bahari kubadirika!!
Usifikiri wote tunaamini ujinga huo!!!Waislam tunaamini kuwa Yesu atarudi tena duniani toka alipopaishwa kwenda mbinguni miaka 2000 iliyopita...Ukifa leo haina maana ya kuwa hili jambo halitakuja kutokea...
Kila jambo limewekewa wakati wako na Mungu ndiye mjuzi wa yote.
Tunaamini kuwa kuna Siku ya Qiyama ila tukifa leo haibatilishi uwepo wa siku ya Qiyama
nimesema " Waislam" sijakutaja wewe KAFIRIUsifikiri wote tunaamini ujinga huo!!!
Hamna jipya hapo. Hizo ni zile hadithi za Sungura alimdanganya Tembo akakanyaga moto.Ahadi isiyopingika na ni suala la muda tu...
Kizazi za kiyahudi kitafutiliwa mbali katika uso wa dunia.
Qiyama hakitasimama mpaka pale Waislam watakapopigana vita kubwa ya dunia dhidi ya Wayahudi.
Kukusanywa kwa wayahudi katika ardhi ya Palestine ni moja ya mipango ya Mungu katika kukifutilia mbali hiki kizazi cha jamii ya watu waharibifu hapa duniani.
Sahih Bukhar
'
Narrated Abu Huraira:
Allah's Messenger (ﷺ) said, "The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. "O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him."
Ndiyo maana mnadanganywa kwenda Makka kumpiga mawe shetani kwa kukosa akili kwenu nanyi mnaenda!!nimesema " Waislam" sijakutaja wewe KAFIRI
kwahiyo mbinguni unataka tukubikiri wewe? maana unawaonea sana wivu wanawake wa mbinguni.Ndiyo maana mnadanganywa kwenda Makka kumpiga mawe shetani kwa kukosa akili kwenu nanyi mnaenda!!
Mnadanganywa eti ukifa unafanya ugaidi huko peponi unapewa Mabikira 72 uwabikiri yaani ujinga mtupu!!
Na ndiyo maana akili zenu zimebaki kuwaza mambo ya NGONO tu Ujinga mtupu!!
Msimamo upi? Anayeamua ni Trump sio huyu kibaraka. Ndio maana Trump alivyosita kusaidia waandamanaji na huyo kibaraka akaufyata. Angejichanganya aende angejikuta anageukwa na Trump na angeng'olewa kwenye kiti.Akizungumza katika kikao cha bunge, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alielezea msimamo wa Israeli kwa maneno yasiyopingika
Alikataa hadi msaada wa urusi!! Ni self reliant ila Israel bila USA ni nobody. Zikipigwa one on one bila interference ya USA au Saudia, hiyo israel haitoboi hata wiki.Iran alipopigwa alikimbilia wapi?