Tatizo lenu Wafuga midevu na Majini hamjui kuwa Israel na Marekani ni washirika(Allies) analoliamua Israel ndilo la Marekani na analoamua Marekani ndilo la Israel.Msimamo upi? Anayeamua ni Trump sio huyu kibaraka. Ndio maana Trump alivyosita kusaidia waandamanaji na huyo kibaraka akaufyata. Angejichanganya aende angejikuta anageukwa na Trump na angeng'olewa kwenye kiti.
Tatizo lenu Wafuga midevu na Majini hamjui kuwa Israel na Marekani ni washirika(Allies) analoliamua Israel ndilo la Marekani na analoamua Marekani ndilo la Israel.
Mataifa haya maw ili yanafanyika maamzi kwa kushirikiana kitu ambacho Mabumunda kama nyie hamjui. Suala la kupigwa Ayatollah ni suala la muda tu vifaa bado vinakusanywa huko baada ya muda unaona kitakachojiri!!!
Kuhusu kung’olewa kwenye kiti hilo ni suala la Wananchi wa Israel Wafuga midevu na Majini haliwahusu!!!
Visingizio vya kitoto kabisa!! Toka lini Iran kakataa msaada wa urusi wadanganye Mabumunda wenzako ambao hawajui kitu!! Iran inasaidiwa na urusi toka siku nyingi wajinga tu ndiyo hawajui.!!!Alikataa hadi msaada wa urusi!! Ni self reliant ila Israel bila USA ni nobody. Zikipigwa one on one bila interference ya USA au Saudia, hiyo israel haitoboi hata wiki.
Visingizio vya kitoto kabisa!! Toka lini Iran kakataa msaada wa urusi wadanganye Mabumunda wenzako ambao hawajui kitu!! Iran inasaidiwa na urusi toka siku nyingi wajinga tu ndiyo hawajui.!!!
View: https://x.com/washtimes/status/2014319157920018739?s=61
View: https://x.com/revmaxxing/status/1841722354138804330?s=61
View: https://x.com/world_affairs11/status/1821088025121616139?s=61
View: https://x.com/warsurveillance/status/2014324378914419067?s=61
We hunaga akili kabisa, kwahiyo kwenye uvamizi wa Israel uliona Iran ikiomba msaada Russia??Visingizio vya kitoto kabisa!! Toka lini Iran kakataa msaada wa urusi wadanganye Mabumunda wenzako ambao hawajui kitu!! Iran inasaidiwa na urusi toka siku nyingi wajinga tu ndiyo hawajui.!!!
View: https://x.com/washtimes/status/2014319157920018739?s=61
View: https://x.com/revmaxxing/status/1841722354138804330?s=61
View: https://x.com/world_affairs11/status/1821088025121616139?s=61
View: https://x.com/warsurveillance/status/2014324378914419067?s=61
Acha utoto sio kila mtu kil.aza kama wewe, Trump amewahi tamka wazi kabisa na kumataka Netanyahu awe na shukrani kwa msaada anaopewa maana sio haki yake!! Na kawaonya wasijisifie kuwa Iron dome ni wao bali ni fadhila tu za wamarekani.Tatizo lenu Wafuga midevu na Majini hamjui kuwa Israel na Marekani ni washirika(Allies) analoliamua Israel ndilo la Marekani na analoamua Marekani ndilo la Israel.
Israel aliamua kuichukua Gaza Ila Trump alikataa akasema anaunda bodi vipi hapo?analoliamua Israel ndilo la Marekani
Acha uongo we myahudi wa mpitimbi, Trump aligoma Israel kushambulia Iran na kweli wametii. Trump aliwaagiza ceasefire Gaza na kule Tehran na Israel akatii licha ya kwamba alikataa kuacha vita!!Mataifa haya maw ili yanafanyika maamzi kwa kushirikiana kitu ambacho Mabumunda kama nyie hamjui. Suala la kupigwa Ayatollah ni suala la muda tu vifaa bado vinakusanywa huko baada ya muda unaona kitakachojiri!!!
Uzuri nimekuwekea na ushahidi na umeshindwa tu kuuelewa maana umeandikwa kiingereza.We hunaga akili kabisa, kwahiyo kwenye uvamizi wa Israel uliona Iran ikiomba msaada Russia??
Iran ilipambana yenyewe ilikua inashusha tu vyuma hapo Tel Aviv, na Israel ndio ilikimbilia USA kuomba cease fire ila hakuna popote Iran aliomba msaada Russia!!
Tatizo hata lugha hujui ndio shida, unapost vitu hata hauelewi
Kea sababu humjui Trum kwa akili yako ndogo utasema wamekosana na hawana ushirika!!Acha utoto sio kila mtu kil.aza kama wewe, Trump amewahi tamka wazi kabisa na kumataka Netanyahu awe na shukrani kwa msaada anaopewa maana sio haki yake!! Na kawaonya wasijisifie kuwa Iron dome ni wao bali ni fadhila tu za wamarekani.
View: https://youtube.com/shorts/qPuSJFYJZrM?si=nHUNvyV7Dh4EWZWF
Angalia hiyo clip fupi sana kama unaelewa lugha lakini!!
Kaa kwa kutulia Israel na Marekani ni washirika hakiwezi kufanyika chochote bila wao kushirikiana.Acha uongo we myahudi wa mpitimbi, Trump aligoma Israel kushambulia Iran na kweli wametii. Trump aliwaagiza ceasefire Gaza na kule Tehran na Israel akatii licha ya kwamba alikataa kuacha vita!!
Meaning mwenye maamuzi ni USA otherwise huyo Netanyahu angevamia sasa iran kama alivyopanga angeona kama hajatekwa na CIA.
Ndoto za Mwendawazimu hizo!@@Israel aliamua kuichukua Gaza Ila Trump alikataa akasema anaunda bodi vipi hapo?
Israel alitaka kuvamia Iran kusaidia waandamanaji ila Trump aligoma.
Israel ni kijakazi tu wa USA na hana lolote anaweza wapangia otherwise huyo Netanyahu anaweza kutekwa usiku usiku kama maduro tu
Tweet ya kwanza umeweka inaonyesha Iran imempa Urusi MSAADA wa shaheed drones!!Uzuri nimekuwekea na ushahidi na umeshindwa tu kuuelewa maana umeandikwa kiingereza.
Nakushauli utafute mkalimani akusaidie!@
Hehehe soma na hiiKea sababu humjui Trum kwa akili yako ndogo utasema wamekosana na hawana ushirika!!
Hakuna kitu kama hicho, US ndio mwenye maamuzi Israel anatekeleza tu ila sio mshirika ni kibaraka.Kaa kwa kutulia Israel na Marekani ni washirika hakiwezi kufanyika chochote bila wao kushirikiana.
Marekani hawezi kuoshambulia Iran bila kushauloana na Israel!! Jaribu kutumia akili zako vizuri na uwe mwelewa!!
Mbona Netanyahu hajavamia Tehran kama alivyotishia? Si angeenda sasa kama kweli wanajiamulia mambo yao.Ndoto za Mwendawazimu hizo!@@
Utasema lolote ili tu ujifariji lakini ukweli utabaki palepale Israel na Marekani ni washirika si kuanzia leo ni Kabila wewe hajazaliwa wao wanashirikiana katika Nyanja mbalimbali.Israel aliamua kuichukua Gaza Ila Trump alikataa akasema anaunda bodi vipi hapo?
Israel alitaka kuvamia Iran kusaidia waandamanaji ila Trump aligoma.
Israel ni kijakazi tu wa USA na hana lolote anaweza wapangia otherwise huyo Netanyahu anaweza kutekwa usiku usiku kama maduro tu
Bwabwaja unavyojua lakini Marekani na Israel ni washirika hata kama watakuja wanapewa chakula hao wanaendelea kuitwa Washirika. Na kazi yao utaiona baada ya muda kitambo huko Iran maana nasikia Ayatollah tayari Ames has za kutoa maji ndevu zake tayari kwa kunyolewa!!!Hakuna kitu kama hicho, US ndio mwenye maamuzi Israel anatekeleza tu ila sio mshirika ni kibaraka.
Hivi Israel inayopewa msaada mpaka wa madawa ndio mshirika wa USA hahhaha we jamaa una matatizo ya akili