Benjamin Netanyahu mwaka 1977, 28 age Young alitabiri haya yanayotokea sasa middle east na yeye ndie mhusika mkuu

Overrated piece of sh*t, huyu ana kesi ya ufisadi anatumia vita kutengeneza umoja nchini kwake. Ila vita zikiisha ana kesi ya kujibu mahakamani. Can't wait to see this filthy rat rot in jail.
Miaka 80 a rot in jail!?
Huyo hana zaidi ya kutaka kutimiza malengo ya taifa lake
 
Overrated piece of sh*t, huyu ana kesi ya ufisadi anatumia vita kutengeneza umoja nchini kwake. Ila vita zikiisha ana kesi ya kujibu mahakamani. Can't wait to see this filthy rat rot in jail.
Mbona kama umechangia uzi tofauti na hu kaka.
Mleta uzi ana maana, plan or vision ya Netanyahu haijabadirika since mwaka 1978, almost 50 years ago na katekeleza sasa; hu ndio uzi. Now kuhusu ufisadi na kesi za kujibu (to my opinion) nadhani ulitakiwa kuanzisha uzi mpya tofauti na hu
 
Vision ipi, mbona alisupport Hamas ili kuiteketeza PLO na leo kawageuka Hamas baada ya kuwapa silaha na mafunzo miaka mingi!! Huyu anatembelea vision ya USA ndio mabwana zake wanachotaka ndio anafanya.

Ni huyu alisema magaidi wa kiislam ni threat kwa usalama wa Israel ila hapo hapo kasaidia tawi la Al qaeda pale Syria yaani HTS kuingia madarakani.

Ndio maana nikasema yupo overrated tu ila ni scumbag anayestahili kuwa ICC ila kwa kuwa dunia imejaa unafiki atapewa sifa zote.
 
Mimi sijamsifia wala kumponda, nilicho kisema ni hiki; uzi au video inaonesha alioyatamka miaka 50 iliopita ndio hayo anayatekeleza sasa (now either ni jambo OVU au JEMA sio lengo la uzi ) then huoni kama anasimamia vision yake?
Namna ya kufikia malengo ndio kuna namna, depending with the situation, sometimes unaweza kumtumia hadi adui yako once there is an opportunity. Unakumbuka vita vya Iraq na Iran vilivyo piganwa almost 10 years? Baadae Iraq alikwenda kuvamia Kuwait na USA alikwenda kumtoa kwa lazima; what happened baada ya Iraq ya Saddam Hussein kuzidiwa? Alikimbiza baadhi ya ndege zake za kivita nchini Iran kwenda kuzificha, umejifunza nini hapo? In politics, hakunaga adui au/na rafiki wa kudumu
 
Back
Top Bottom