kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,405
Hawamuogopi?? Hii sifa alikuwa nayo Mwinyi tu.Mkapa alikuwa na imani na wateule wake; walimuheshimu na hawakuwa wanamuogopa. Aliweza kuwapa confidence iliyoufanya utawala wake ulete maendeleo ya nchi bila wananchi kuteseka.
Mkapa aliweza kuleta uwiano kati ya maendeleo ya watu na vitu!!!
mabeparimabepali
Sio jiwe gizani ni direct shoot kwenye targetUjumbe murua wa viongozi wengi waliofanya kazi na hayati Benjamine William Mkapa wamemwelezea kama kiongozi aliyekuwa haingilii mjukumu yao alikuwa anafanya shughuli zake. Je hili sio jiwe gizani!!
Mkapa aliheshimiwa na wateule wake!!Hawamuogopi?? Hii sifa alikuwa nayo Mwinyi tu.
analengwa yesuuu Wa kange 😭 😭Sio jiwe gizani ni direct shoot kwenye target
Nakuogopwa.Mkapa aliheshimiwa na wateule wake!!
Ujumbe murua wa viongozi wengi waliofanya kazi na hayati Benjamine William Mkapa wamemwelezea kama kiongozi aliyekuwa haingilii mjukumu yao alikuwa anafanya shughuli zake. Je hili sio jiwe gizani!!
Sipangiwi napangaanalengwa yesuuu Wa kange [emoji24] [emoji24]
huyu alikua anaenda na wakati kwa kila jambo, alifikia kipindi aliona nchi inafaa kua na liuwanja likubwa LA mpira likajengwa, sina uhakika kama ilikua ni ndege au rada, alisema hata tukila nyasi lazima kitu inunuliwe,
OK sasa sawa, ilisikika sana kwenye utawala wake hio kauliYakula nyasi hakusema Mkapa; he was too decent to say such nonsense!! Hayo maneno yalisemwa bungeni na waziri wake wa fedha Basil Pesambili Mramba!!
Hakuna awamu tuliyoteseka wafanyakazi wa mashirika ya umma yaliyo binafsishwa kama awamu ya Mkapa, alikuta mashirika ya Umma mangapi na aliacha mangapi, Waziri hana uwezo wa kuuza nyumba za serikali bila kibali cha mkuu wa nchi, kaharibu haribu kaondoka watu wanasifia kiwanja cha mpira, walioboreshewa maisha ni wafanyakazi wa serikali hapo kweli alirudisha heshima yao.Mkapa alikuwa na imani na wateule wake; walimuheshimu na hawakuwa wanamuogopa. Aliweza kuwapa confidence iliyoufanya utawala wake ulete maendeleo ya nchi bila wananchi kuteseka.
Mkapa aliweza kuleta uwiano kati ya maendeleo ya watu na vitu!!!
Yakula nyasi hakusema Mkapa; he was too decent to say such nonsense!! Hayo maneno yalisemwa bungeni na waziri wake wa fedha Basil Pesambili Mramba!!
Mkapa alikuwa na imani na wateule wake; walimuheshimu na hawakuwa wanamuogopa. Aliweza kuwapa confidence iliyoufanya utawala wake ulete maendeleo ya nchi bila wananchi kuteseka.
Mkapa aliweza kuleta uwiano kati ya maendeleo ya watu na vitu!!!
Nilimsikia mzee msekwa anasema wakati akiwa spika mkapa hakuwahi kuingilia mhimili wa bunge, aliuheshimu