Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
- Thread starter
-
- #41
Kuna mtu mifumo anaona inamrudisha nyuma.. anatamani hata afute TRA, police ili mwenyewe afanye kazi hiyo.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji111]
Na yeye mwenyewe kujimilikishaMkapa ndiye aliyechangia kwa kiasi kikubwa rasilimali za nchi kuibiwa na mabepali
Umeni fumbua vityuu vingi kuusu mheshimiwa mkapa
Sio hili tu hata kununua ndege bila lisitiNdipo wakapata mwanya wa kuuza mpaka migodi, au story kwamba alikuwa akiwatuna ni uongo!!!
Mwanasiasa ni kiumbe wa ajabu sana.
100% true pamoja na kuuza nyumba za serikali na kununua kivuko mbomu cha bagamoyo! Then bado hao hao 2015 mkawachagua!Ndipo wajanja walipotumia mwanya huo kumbebesha zigo la Kiwira
Alipikwa akapikila na nyerere..
Kizazi cha nyerere ndio kizazi pekee nyenye maadili ya ukweli.