mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sio mm
Anzia kusoma nilipokuqoute labda utaelewa.
Kwahiyo ni mapumziko pia naomba kufahamu mwenye kujua anisaidie
Dude la mbinguni halihusiki na hayo unayosemaHata wewe ni mgonjwa.
Ndo maana kuna wakati unajisikia homa,au maumivu ya kichwa n.k..
Mtu unaweza ukafa hata kwa homa.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Amelazwa lini hapo hospitali mbona taarifa nusunusu
R.I.P Ben.Daa, Apumzike kwa amani mzee wetu. Nilianza kumkubali hivi karibuni. Mbele yeye, nyuma sisi.
Yule pilot[emoji24]Kibaya sio kutangulia kama umri unaruhusu. Kibaya ni kijana kutangulia na jinsi anavyotangulia. Simanzi ni pale mtu anapoondoka bila kurealise potential yake. Kwa mfano mtoto wa CDF japo sikumjua, nilisikitika kwakuwa alikuwa kijana mdogo with his whole life ahead of him. Pia jinsi alivyoondoka nilijiweka kwenye nafsi yake, nikaumia.
Mzee Mkapa amepitiliza maisha ya kuishi. Tumeshauona mchango wa nguvu zake hapa duniani. It´s ok apumzike.