Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hunishindi, alafu nimeiona thread ya kwanza. Moyo ukafanya paaaa, na simu ikaanguka chini dah 😢Nimeshtuk balaaa
Hata mimi nimeshtuka hivyo hivyo! Duh! Nimeona neno “rais” nikashtuka sana! Ndipo macho yalipoona “Mkapa”, nikapata unafuu. Taarifa za kifo ni mbaya sana regardless. Mungu aepushe!mods fungeni hii nyuzi za muda au muweke rangi nyeusi hapo kwenye tanzia yaan nimeshtuka hadi simu imedondoka chini MUNGU wa mbinguni epusha hili jambo na maombi mabaya juu ya Rais wetu Magufuli..
Yaniii me too duuhHata nini nimeshtuka hivyo hivyo! Duh! Nimeona neno “rais” nikashtuka sana! Ndipo macho yalipoona “Mkapa”, nikapata unafuu. Taarifa za kifo ni mbaya sana regardless. Mungu aepushe!
Sema tunavyozid kucomment ndo unapanda juu...Dah kama vip huu uzi upumzishwe kidogo jaman mods....
AmenMungu ni mwema kila wakati
Sema tunavyozid kucomment ndo unapanda juu...
Ukijumlisha na hizi rumors Basi roho inadunda
Pole mkuu kwa kushtuka mkuu🤭Hata mimi nimeshtuka hivyo hivyo! Duh! Nimeona neno “rais” nikashtuka sana! Ndipo macho yalipoona “Mkapa”, nikapata unafuu. Taarifa za kifo ni mbaya sana regardless. Mungu aepushe!