Benjamini Mkapa kamwambie Mwalimu Nyerere Tanzania iko salama

Benjamini Mkapa kamwambie Mwalimu Nyerere Tanzania iko salama

PUMZIKA KWA AMANI MZEE MKAPA. VITA UMEIPIGANA BABA YETU NA MWENDO UMEUMALIZA. MUNGU AKUPE PEPO ILIYO NJEMA MZALENDO MWENZANGU.
 
Kinachofurahisha wazee hawa wanafanana kihistoria
Wakati Mwl Mwl Nyerere alifariki miaka 15 baada ya kustaafu.Hayati Benjamin William Mkapa amefariki baada ya miaka 15 toka alipostaafu.Hakika historia ya kufanana
Raha ya milele uwape eebwana na mwanga wa milele uwaangazie; wapendwa wetu apumzike kwa amani.Amina
 
Bila kusahau kumwambia kuwa watumishi wa Umma waliotoa Nia ya kugombea ubunge na udiwani kupitia CCM wamenyimwa mishahara yao ya mwezi July.watiania hai kabla ya kukatwa mishahara yao walinunua fomu ya kutoa Nia kwa TSH 100,000 na wakachangia uchaguzi kwa TSH 350,000 na zaidi ,kila mmoja na fedha hizi walikopa wakijua walipata mishahara ya mwezi July watarejesha,Sasa kumekuwa kilio Cha kukosa Kura za maoni,kupoteza fedha walizolipia TSH 450,000 na zaidi na kuambulia kukosa mishahara ya July .Sasa Ni kilio na kusaga meno,Kodi za nyumba hawana,nauli za kwenda kazini hawana.mishahara tangu 2015 hawajaongezewa,bado watumishi hao hao watakuwa kusimamia uchaguzi mkuu October.
Hivi sababu kubwa ya kuwakata mishahara hawa jamaa ni nini ?
 
We wa dini gani?? Alikufa akuombee we ulohai, wewe ni lipagani la wapi??
Oooh my God wewe ndio ben alikuita rofa, tena rofa rofa kweli.
Nadhan subiri zawad ya udc kwa kujipendekeza kwako
Ni msiba mkubwa sana, kwa takribani miaka 20 tunapata simanzi kubwa ya kitaifa. Benjamini kamwambie Mwalimu Tanzania inakwenda vizuri kutimiza ndoto alizokuwa nazo Mwalimu,

Hatutakukumbuka kwa kibinafsisha mashirika, kwa hotuba zako nzuri za kisomi na mpangilio nadhifu, hatutakukumbuka kuisaidia nchi kulipa madeni yake, hatutakukumbuka kwa ujenzi Wa miundombingu hasa barabara nchi nzima, hatutakukumbuka kwa kutujengea uwanja mzuri hatutakukumbuka kwa kuwaingiza vikana ndani ya uongozi Wa Taifa bali kwa kumumuibua John Joseph Pombe Magufuli ambaye ameyakusanya mawazo ya watangulizi wake na kuyaweka katika vitendo na sasa hivi Tanzania inang'ara.

Kamwambie Mwalimu aichungulie Dodoma, aangalie rufiji mambo yanavyokwenda, aangalie madini aliyotuonya subilini watanzania wasome waje wachimbe kwa faida, mkumbushe kutuombea bado donda ndugu la rushwa katika uchaguzi linatutesa atusaidie kumwambia Mungu ampe nguvu John ya kulishinda hili nalo hata ikimlazimu kuteua aliyepata zero kwa haki.
 
Back
Top Bottom