Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,033
- 723
- Thread starter
- #21
Huyu alishafariki mwaka jana. tulimzika Muleba.Vp Hali ya mwenzake Raymond?
Kuandika habari za uchunguzi na siasa ni hatari sana .
Ukiandika za mapendi na udaku unapendwa na kutajirika.
Rip Benjamin rwegasira WA radio Tanzania bukoba.
Asante