TANZIA Benjamini Rwegasira amefariki na kuzikwa Mkoani Kagera

Hapo Gera kiziba sikuna parokia ya mghana uwa tunaenda kuiji kila wiki jumapili ya mwisho ya mwezi wa kumi.Parokia imeshindwa kutoa ata farther mmoja kwenda kumzika mwandishi wetu wa habari au alikuwa anakwepa jumuia?
Rc kama hushiriki kwenye Ibada zao, means hutoi sadaka wanakutenga, RC ni wamekujia kutugawa wa tz
Kama hukuwa unasali kwao, huona umuhimu wa kushirikiana nao. Kwanini uone umuhimu wa kuzikwa na Padre. Kwani wapi imeandikwa Mkatoliki lazima azikwe na Padre mbona sala za mazishi ni zilezile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…