I Investor 1 Senior Member Joined May 4, 2022 Posts 106 Reaction score 206 May 10, 2022 #1 Wakuu naomba kuuliza kwa wale wazoefu, ni benki gani ambazo wamakubali hisa za UTT kutumika kama dhamana ya kuchukulia mkopo bila usumbufu.
Wakuu naomba kuuliza kwa wale wazoefu, ni benki gani ambazo wamakubali hisa za UTT kutumika kama dhamana ya kuchukulia mkopo bila usumbufu.
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,370 Reaction score 3,962 May 10, 2022 #3 Hakuna hata benki moja Tanzania inayokubali certificate as a collateral.
I Investor 1 Senior Member Joined May 4, 2022 Posts 106 Reaction score 206 May 11, 2022 Thread starter #4 bukoba boy said: Hakuna hata benki moja Tanzania inayokubali certificate as a collateral. Click to expand... Ok, inakuwaje wamasema hisa unazonunua zinaweza kutumika Kama dhamana.? walimaanisha Nini?
bukoba boy said: Hakuna hata benki moja Tanzania inayokubali certificate as a collateral. Click to expand... Ok, inakuwaje wamasema hisa unazonunua zinaweza kutumika Kama dhamana.? walimaanisha Nini?