Investor 1
Senior Member
- May 4, 2022
- 106
- 206
Wakuu naomba kuuliza kwa wale wazoefu, ni benki gani ambazo wamakubali hisa za UTT kutumika kama dhamana ya kuchukulia mkopo bila usumbufu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok, inakuwaje wamasema hisa unazonunua zinaweza kutumika Kama dhamana.? walimaanisha Nini?Hakuna hata benki moja Tanzania inayokubali certificate as a collateral.