Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 239
Naamini humu kuna kila aina ya watu wanaoweza kunielimisha kuhusu hili. Hivi ni benki gani hapa nchini ambayo inalipa interest nzuri katika ule mpango wa Fixed Account? Mfano ukiwa na milioni moja baada ya miezi sita unaweza kupata kiasi gani, au baada ya mwaka? Please naomba msaada wenu.