Benki gani inalipa interest nzuri jamani

Benki gani inalipa interest nzuri jamani

Simba Mkali

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
620
Reaction score
239
Naamini humu kuna kila aina ya watu wanaoweza kunielimisha kuhusu hili. Hivi ni benki gani hapa nchini ambayo inalipa interest nzuri katika ule mpango wa Fixed Account? Mfano ukiwa na milioni moja baada ya miezi sita unaweza kupata kiasi gani, au baada ya mwaka? Please naomba msaada wenu.
 
Jaribu Access bank huwa wana interest nzuri, lkn pia Tanzania postal bank na International commercial bank(Icb) nao wanazo nzuri......nenda jaribu!
 
Tanzania Postal Bank wana Interest Nzuri sana kulinganisha na Bank zote TZ ikifuatiwa na Access Bank
Jinsi ya Ku Calculate Interest ni|
Principle Amount×Duration×Interest Percentage Then Divide by 1200
 
B
Tanzania Postal Bank wana Interest Nzuri sana kulinganisha na Bank zote TZ ikifuatiwa na Access Bank
Jinsi ya Ku Calculate Interest ni|
Principle Amount×Duration×Interest Percentage Then Divide by 1200
Asante
 
hakuna benki bongo utayoweka fixed milion moja kwa miezi sita.. ukapata riba zaidi ya laki 1... na hapo sijatoa with holding tax... kama huwezi kuzungusha hela leta kwa wajasiriamali.. tukuzungushie.. tukupe mgao wa faida kidogo
 
. Asante milioni moja nilitoa kama mfanob tu! Naweza kuwa hata na milioni tano au 10.
 
Back
Top Bottom