Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 239
Are sure? Mi naomba ufafanuzi mkuu sio suala la utani.Fuatilia Exim bank na Finca
Ndio mana nimekuambia fuatiliaAre sure? Mi naomba ufafanuzi mkuu sio suala la utani.
AsanteTanzania Postal Bank wana Interest Nzuri sana kulinganisha na Bank zote TZ ikifuatiwa na Access Bank
Jinsi ya Ku Calculate Interest ni|
Principle Amount×Duration×Interest Percentage Then Divide by 1200
. Asante milioni moja nilitoa kama mfanob tu! Naweza kuwa hata na milioni tano au 10.hakuna benki bongo utayoweka fixed milion moja kwa miezi sita.. ukapata riba zaidi ya laki 1... na hapo sijatoa with holding tax... kama huwezi kuzungusha hela leta kwa wajasiriamali.. tukuzungushie.. tukupe mgao wa faida kidogo