karugila JF-Expert Member Joined Nov 6, 2014 Posts 1,275 Reaction score 685 Feb 11, 2015 #1 Wanajamii nataka fahamu benk gani inatoa riba nafuu ya mkopo kwa mtumishi wa serikali kwa hapa Tanzania.
Wanajamii nataka fahamu benk gani inatoa riba nafuu ya mkopo kwa mtumishi wa serikali kwa hapa Tanzania.
kindili kindili JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 242 Reaction score 54 Feb 11, 2015 #2 mkuu crdb, nyie wa serikalini mnapewa mikopo ovyo ovyo tu,