rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 129
heshima yenu wana jf naomba kujuzwa benk kwa hapa tanzania ambayo naweza kufungua akaunt na kupata kadi ya atm hapohapo
natanguliza shurani............
CRDB, Exim, NMB, Barclays, TPB, ziko nyingi tu chaguo ni lako kulingana na gharama za ATM Card na expiry date, pia kama local au ya kimataifa 'viza/master card'
mkuu nahitaj benk wanayotoa kad cku hiyohiyoCRDB, Exim, NMB, Barclays, TPB, ziko nyingi tu chaguo ni lako kulingana na gharama za ATM Card na expiry date, pia kama local au ya kimataifa 'viza/master card'
heshima yenu wana jf naomba kujuzwa benk kwa hapa tanzania ambayo naweza kufungua akaunt na kupata kadi ya atm hapohapo
natanguliza shurani............
mkuu nahitaj benk wanayotoa kad cku hiyohiyo
barclays kianzio ni sh. ngap wakuuNi Barclays bank pekee..ikifunguka tu weka deposit na Debit Card within 10 mins unaanza matumizi
crdb kianzio n bei gan................n lazima niende hquarter or hata branch zao ni wanatoa kad siku hiyhiyoCRDB... unaingia leo baada ya mda mfupi unatoks na kadi
noh nmb wameniambia ni after two weeksNmb chap chap yaani papo kwa papo
crdb kianzio n bei gan................n lazima niende hquarter or hata branch zao ni wanatoa kad siku hiyhiyo
benk ya wanawake vp na wanaume wanakubaliwa?kadi zao n master? na kianzio ni bei ganiBenki ya Wanawake. Nenda faster unapata. TWB