Benki gani naweza kufungua akaunti na nikapata ATM card papo hapo?

Benki gani naweza kufungua akaunti na nikapata ATM card papo hapo?

Mkuu acha uongo. NMB mimi ndo benk ninayo tumia, ukifungua a/c leo lazima usubiri wiki tatu hadi nne ndo ATM card unapata, sababu matawi hayatengenezi zinatengenezwa sehem moja kwa benk husika halafu zinatumwa.
Fanya utafitibkabla ya kuropoka
NMB wana chapchap account,ndani ya dakika kumi unapata Atm yako kufungua ni Tsh.10,000 tu
 
Mkuu acha uongo. NMB mimi ndo benk ninayo tumia, ukifungua a/c leo lazima usubiri wiki tatu hadi nne ndo ATM card unapata, sababu matawi hayatengenezi zinatengenezwa sehem moja kwa benk husika halafu zinatumwa.

Inategemea ni account gani unaifungua. Nilifungua account ya internet purchase crdb bank nikapata card siku hiyo hiyo, na nikanunua vitu siku hiyo hiyo kwa account hiyo mpya kwa njia ya internet.
 
Bila shaka unamaanisha ATM isiyo ya Visa/MasterCard! I mean local.
 
Back
Top Bottom