Benki gani naweza kufungua akaunti na nikapata ATM card papo hapo?

Posta bank nayo unapata kadi papo kwa papo
 
BancABC,TZS account 500tzs na USD account 20,000tzs
 
thanks wakuu nitafungua account crdb.............................
 
Mimi nataka bank ambayo naweza transfer pesa kwa account yangu ughaibuni na ku accepted transaction nwenyewe kwa kutumia internet bila kuwapo tz
 
CRDB online banking ipo complicated sana ..
 
CRDB, Exim, NMB, Barclays, TPB, ziko nyingi tu chaguo ni lako kulingana na gharama za ATM Card na expiry date, pia kama local au ya kimataifa 'viza/master card'

Acha uzushi wewe. tangu lini NMB, CRDB ukifungua akaunti unapata kadi ndani ya siku moja. hakuna kitu kama hicho. ni Barclays pekee
 
crdb, exim, nmb, barclays, tpb, ziko nyingi tu chaguo ni lako kulingana na gharama za atm card na expiry date, pia kama local au ya kimataifa 'viza/master card'

hivi kwanini unakua muongo hivi... Hata kwa mambo yenyewe yapo waziwazi....


Hizo bank ulizotaja... Atm card ni not less than 3 weeks ndio utapewa ....

Only

barclays bank.

.ndio issuance ya atm card inafanyika kwa saa kadhaa tuu siku hiyo hiyo...
 

President Elect anachanganya kitambulisho cha mda na ATM card. anazani inatolewa kama kadi za ccm
 
Last edited by a moderator:

Kianzio ni Tsh Ngapi kwa barclays bank?
 
Barclays ukishafungua akaunti ambayo inafunguliwa free of charge..then ukishaanza kufanya deposit mabayo inaanzia 20,000+ unaprintiwa kadi..maana huweI pata kadi Kama hujaanza deposit.
Mimi nafanya kazi barclays so najibu kwa hakika na ninahudumia customers.
 

Naweza kufungua account barclays ingawa nipo naishi mbali na tawi la bank?
 
Yup inawezekana sana hiyo siyo Issue,tuna Huduma ya Simbanking,Internet Banking,na Debit Card yetu ni VISA..
So hii itakurahisishia kila kitu.na ikienda kufungua akaunti unaomba uunganishwe kwenye Huduma hizi zote ili ufurahie maisha ndani ya barclays bank.
Simbanking mwisho wa matatizo utaweza Fanya mihamala tote kwensa kwenye tigopesa,mpesa,Airtel, Z Pesa na hata kwa banks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…