Fanya utafitibkabla ya kuropokaMkuu acha uongo. NMB mimi ndo benk ninayo tumia, ukifungua a/c leo lazima usubiri wiki tatu hadi nne ndo ATM card unapata, sababu matawi hayatengenezi zinatengenezwa sehem moja kwa benk husika halafu zinatumwa.
Mkuu acha uongo. NMB mimi ndo benk ninayo tumia, ukifungua a/c leo lazima usubiri wiki tatu hadi nne ndo ATM card unapata, sababu matawi hayatengenezi zinatengenezwa sehem moja kwa benk husika halafu zinatumwa.
Nenda bank ABCBank zote kwa sasa wana machines za kutoa ATM card on time, labda bank zilizoanzishwa kama Sacco's ndiyo hawana.