natumia crdb kwasasa, vip hao ABC wananin ambacho crdb hawana?Achana na bank za ajabu. Nilitumia CRDB nikajuta sitorudia tena. Now naenjoy sana kutumia Bank ABC.
Mi Nadhani kwa lengo la kutoa elimu, ni bora ukawa wazi, kwa nini sio nzuri, pia ni bora kuelezea uzuri huo unapimwaje..Achana na bank za ajabu. Nilitumia CRDB nikajuta sitorudia tena. Now naenjoy sana kutumia Bank ABC.
Wapo maeneo ganiUBA bank ndio United Bank For Africa.
Wana prepaid card au jina jingine credit card. Hii hauhitaji kua na account. Na unaweza iwekea pesa kutokea kwenye mpesa na nyinginezo.
Na unaweza fanya online transaction zote. Na kila transaction unayoifanya utapata sms alert na ina online banking ambayo unaweza kuiconect na acc yako ya bank pia.
Paypal inafanya kazi pia
Card ni only elfu 11
Na ipo active nchi zote duniani kwenye ATM za Visa or master card POS na nyinginezo unazoweza fanya online payment
Haisumbui kabisa.
Bank ya UBA hautojuta. CRDB bado hawako vizuri.
Arusha hawapo . Wapo Dar tu.
Mkuu Tafadhali unaweza kutuambia Makato yakeUBA bank ndio United Bank For Africa.
Wana prepaid card au jina jingine credit card. Hii hauhitaji kua na account. Na unaweza iwekea pesa kutokea kwenye mpesa na nyinginezo.
Na unaweza fanya online transaction zote. Na kila transaction unayoifanya utapata sms alert na ina online banking ambayo unaweza kuiconect na acc yako ya bank pia.
Paypal inafanya kazi pia
Card ni only elfu 11
Na ipo active nchi zote duniani kwenye ATM za Visa or master card POS na nyinginezo unazoweza fanya online payment
Haisumbui kabisa.
mkuu vp arusha hawa UBA wapo? na.ukishalipa hyo 11000 inabaki kwenye hyo card yako ama inachukuliwa na wao?UBA bank ndio United Bank For Africa.
Wana prepaid card au jina jingine credit card. Hii hauhitaji kua na account. Na unaweza iwekea pesa kutokea kwenye mpesa na nyinginezo.
Na unaweza fanya online transaction zote. Na kila transaction unayoifanya utapata sms alert na ina online banking ambayo unaweza kuiconect na acc yako ya bank pia.
Paypal inafanya kazi pia
Card ni only elfu 11
Na ipo active nchi zote duniani kwenye ATM za Visa or master card POS na nyinginezo unazoweza fanya online payment
Haisumbui kabisa.
UBA bank ndio United Bank For Africa.