Benki gani nzuri kufanyia biashara mtandaoni?

Achana na bank za ajabu. Nilitumia CRDB nikajuta sitorudia tena. Now naenjoy sana kutumia Bank ABC.
Mi Nadhani kwa lengo la kutoa elimu, ni bora ukawa wazi, kwa nini sio nzuri, pia ni bora kuelezea uzuri huo unapimwaje..

Maana kuna wengine tu nahitaji hizi huduma, sema hatujuhi pa kuanzia.

Ahsante
 
UBA bank ndio United Bank For Africa.
Wana prepaid card au jina jingine credit card. Hii hauhitaji kua na account. Na unaweza iwekea pesa kutokea kwenye mpesa na nyinginezo.
Na unaweza fanya online transaction zote. Na kila transaction unayoifanya utapata sms alert na ina online banking ambayo unaweza kuiconect na acc yako ya bank pia.
Paypal inafanya kazi pia
Card ni only elfu 11
Na ipo active nchi zote duniani kwenye ATM za Visa or master card POS na nyinginezo unazoweza fanya online payment
Haisumbui kabisa.
Wapo maeneo gani
 
Wapo posta maktaba square. Au kariakoo opposite na Big Born. Au nyerere road opposite na kiwanda cha sigara.
 
UBA bank ndio United Bank For Africa.
Wana prepaid card au jina jingine credit card. Hii hauhitaji kua na account. Na unaweza iwekea pesa kutokea kwenye mpesa na nyinginezo.
Na unaweza fanya online transaction zote. Na kila transaction unayoifanya utapata sms alert na ina online banking ambayo unaweza kuiconect na acc yako ya bank pia.
Paypal inafanya kazi pia
Card ni only elfu 11
Na ipo active nchi zote duniani kwenye ATM za Visa or master card POS na nyinginezo unazoweza fanya online payment
Haisumbui kabisa.
Mkuu Tafadhali unaweza kutuambia Makato yake
 
Ukiwa nje ya nchi makato ni kama benki nyingine. Kila transaction ni TZS 7000
 
UBA bank ndio United Bank For Africa.
Wana prepaid card au jina jingine credit card. Hii hauhitaji kua na account. Na unaweza iwekea pesa kutokea kwenye mpesa na nyinginezo.
Na unaweza fanya online transaction zote. Na kila transaction unayoifanya utapata sms alert na ina online banking ambayo unaweza kuiconect na acc yako ya bank pia.
Paypal inafanya kazi pia
Card ni only elfu 11
Na ipo active nchi zote duniani kwenye ATM za Visa or master card POS na nyinginezo unazoweza fanya online payment
Haisumbui kabisa.
mkuu vp arusha hawa UBA wapo? na.ukishalipa hyo 11000 inabaki kwenye hyo card yako ama inachukuliwa na wao?
 
UBA bank ndio United Bank For Africa.
Wana prepaid card au jina jingine credit card. Hii hauhitaji kua na account. Na unaweza iwekea pesa kutokea kwenye mpesa na nyinginezo.
Na unaweza fanya online transaction zote. Na kila transaction unayoifanya utapata sms alert na ina online banking ambayo unaweza kuiconect na acc yako ya bank pia.
Paypal inafanya kazi pia
Card ni only elfu 11
Na ipo active nchi zote duniani kwenye ATM za Visa or master card POS na nyinginezo unazoweza fanya online payment
Haisumbui kabisa.
 
Vp Barclay's bank wakuu kwa issues za online shopping?
 
Back
Top Bottom