Benki hii sasa ni ya kikanda zaidi

Benki hii sasa ni ya kikanda zaidi

Ukiacha UKABiLA pia wana UDINI,
Kazi kwenu.
 
CRDB kama sio mchaga kupata kazi ni ngumu sana! Hata ma HR wengi pale ni wachaga.

Dada yangu mmoja aliyeko Exim bank naye analalamika kuwa ukabila (uchaga) umetawala. Nafikiri kuna tatizo mahali sasa.
 
Back
Top Bottom