Benki imefunga matawi yake yote

Benki imefunga matawi yake yote

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Benki ya FNB imetangaza kuyafunga matawi yake yaliyopo Quality Center (Juni 15, 2019) na Kariakoo (Agosti 15, 2019). Huduma zote zitahamishiwa katika tawi kuu lililopo Mtaa wa Ohio (FNB House).
60808123_889869951365099_299005203556859904_o.jpg
 
Mbona tawi la kariakoo wameshafunga juzi nilipita hapo nikaona,Itakuwa biashara imewaendea kombo,kodi za pango zitakuwa zinawakosti ikiwa wateja wenyewe hakuna,Hapo vijana wenzetu wa hayo matawi wanakuja mtaani kuteseka kama walivyo walimu
 
Dah yaani umeelezea kwa hisia hadi nimepata moyo wa huruma ghafla
 
Soma maelezo vzr hlf kuna haya maneno pia..."The operations of customer accounts will not be affected by this relocation."
Sikubaliani na hiyo lugha...RELOCATION... Ingekuwa wanahamishia huduma palipokuwa hapana tawi na shughuri zikaendelea hapo OK,tungeita RELOCATION... Lakini kuhamishia HQ, ambapo tayari pana operations zinaendelea.... THAT IS NOT RELOCATION BUT CLOSING
 
Hivi mtu na akili zako unafungua akaunti kwenye benki kama hzi unapenda hela zako akati nmb, crdb zipo
 
Back
Top Bottom