mnyagura
Member
- Sep 30, 2017
- 70
- 29
Exim vp mkuuHivi mtu na akili zako unafungua akaunti kwenye benki kama hzi unapenda hela zako akati nmb, crdb zipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exim vp mkuuHivi mtu na akili zako unafungua akaunti kwenye benki kama hzi unapenda hela zako akati nmb, crdb zipo
Unadhani watakueleza ukweli kuwa wamefirisika!!???Soma maelezo vzr hlf kuna haya maneno pia..."The operations of customer accounts will not be affected by this relocation."
Benki ya FNB imetangaza kuyafunga matawi yake yaliyopo Quality Center (Juni 15, 2019) na Kariakoo (Agosti 15, 2019). Huduma zote zitahamishiwa katika tawi kuu lililopo Mtaa wa Ohio (FNB House).
View attachment 1107816
Toa pesa yako haraka
Ivi kwamfano huu mfumo wa sasaivi kubadilishia hela bank mtu huwezi kufanya Money Loundering kweliBiashara ya money loundering imezimwa sasa waliozoea biashara za kijanjajanja lazima warare mbere
Soko huria, watu wanaangalia interest rates n.kHivi mtu na akili zako unafungua akaunti kwenye benki kama hzi unapenda hela zako akati nmb, crdb zipo
Teh teh teh... Yaani binti yupo IcU, ww ndo unapeleka posa!!Nataka nikafungue account huko natakiwa kuwa na viambatanisho vipi jamani
NAKAZIA,Toa pesa yako haraka
Atapona tuTeh teh teh... Yaani binti yupo IcU, ww ndo unapeleka posa!!