Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Soma maelezo vzr hlf kuna haya maneno pia..."The operations of customer accounts will not be affected by this relocation."Toa pesa yako haraka
Nasisitiza pia "toa pesa yako yooote" haraka sana!.......elewa dalili mapema.Soma maelezo vzr hlf kuna haya maneno pia..."The operations of customer accounts will not be affected by this relocation."
Lazima watoe maelezo ya kuvutia Kama hayo ili watu wasishtuke so inafaa mwenyewe ujiongeze.Soma maelezo vzr hlf kuna haya maneno pia..."The operations of customer accounts will not be affected by this relocation."
Dah yaani umeelezea kwa hisia hadi nimepata moyo wa huruma ghaflaMbona tawi la kariakoo wameshafunga juzi nilipita hapo nikaona,Itakuwa biashara imewaendea kombo,kodi za pango zitakuwa zinawakosti ikiwa wateja wenyewe hakuna,Hapo vijana wenzetu wa hayo matawi wanakuja mtaani kuteseka kama walivyo walimu
Yaani imeniuma sana kwa kweli,lundo la vijana linazidi kurundikana mtaaniDah yaani umeelezea kwa hisia hadi nimepata moyo wa huruma ghafla
Sikubaliani na hiyo lugha...RELOCATION... Ingekuwa wanahamishia huduma palipokuwa hapana tawi na shughuri zikaendelea hapo OK,tungeita RELOCATION... Lakini kuhamishia HQ, ambapo tayari pana operations zinaendelea.... THAT IS NOT RELOCATION BUT CLOSINGSoma maelezo vzr hlf kuna haya maneno pia..."The operations of customer accounts will not be affected by this relocation."
Very excellent great thinkingSikubaliani na hiyo lugha...RELOCATION... Ingekuwa wanahamishia huduma palipokuwa hapana tawi na shughuri zikaendelea hapo OK,tungeita RELOCATION... Lakini kuhamishia HQ, ambapo tayari pana operations zinaendelea.... THAT IS NOT RELOCATION BUT CLOSING
Sababu kuu ni nini?