Wana jamvi, heshima kwenu! Kwa wale wenye biashara binafsi au kampuni, inapotokea umeshinda zabuni/mradi wa serikali ambao hauna advance payment; ni njia gani unatumia kupata fedha za kuendesha mradi iwapo una cash balance kidogo.
Nimejaribu bank yangu licha ya kuwa mteja wao wa muda mrefu ila sijawahi kuwakopa and naona mkopo una masharti mengi na unachukua muda mrefu kuupata. Kuna mwenye wazo tofauti au experience ya kushare?