Benki ipi naweza kupata working capital kwa ajili ya kuendesha mradi?

Benki ipi naweza kupata working capital kwa ajili ya kuendesha mradi?

LexPaulsen

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
316
Reaction score
609
Wana jamvi, heshima kwenu! Kwa wale wenye biashara binafsi au kampuni, inapotokea umeshinda zabuni/mradi wa serikali ambao hauna advance payment; ni njia gani unatumia kupata fedha za kuendesha mradi iwapo una cash balance kidogo.

Nimejaribu bank yangu licha ya kuwa mteja wao wa muda mrefu ila sijawahi kuwakopa and naona mkopo una masharti mengi na unachukua muda mrefu kuupata. Kuna mwenye wazo tofauti au experience ya kushare?





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahitaji pesa ngapi? una collateral yoyote mkuu? naweza kukupa msaada wa mawazo
 
Weka bond/colateral kitu chako chenye thamani,ni faster..ila jiandae na riba
 
Back
Top Bottom