Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
DuuuuuuiNa leo dola imeanza kwenda juu
😄😄😄😄na ww unaamini kabisa ... Hebuacha utaniAngalau sasa wamejibu ❤️ moyo wangu umetulia
Acheni kutumika kama TOILET PAPER, muda utafika mtatakiwa kuwasilisha huu ushahidi.Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuchapishwa kwa fedha na kuzisambaza kwa ajili ya uchaguzi, huku baadhi ya watu wakihamasisha wananchi kuondoa fedha zao kutoka mabenki kwa madai ya uhaba wa fedha.
BoT imesisitiza kuwa taarifa hizo siyo za kweli na zinapaswa kupuuzwa. Kuchapishwa kwa fedha kunafanywa kwa mujibu wa Kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu, Sura 197, na kuziingiza kwenye mzunguko kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kubadilisha fedha zilizochakaa zinazorudiwa na benki za biashara. Benki Kuu pia imeendelea kutekeleza Sera ya Fedha kwa ufanisi, huku mfumuko wa bei ukiwa chini ya wastani wa asilimia 3.3 kwa miezi 10 ya mwaka 2025, thamani ya shilingi ikaimarika kwa asilimia 8.8, na akiba ya fedha za kigeni kufikia Dola bilioni 6.7, ikikidhi uagizaji wa bidhaa nje kwa miezi 5.4.
Soma: Mange Kimambi adai Benki Kuu Tanzania (BoT) imechapisha pesa Makontena kwa Makontena (Money Printing)
Aidha, BoT imethibitisha kuwa mabenki yote nchini yanaendeshwa kwa kuzingatia sheria, kanuni, miongozo na viwango vya kimataifa, ukiwa na mitaji na ukwasi wa kutosha, faida endelevu, na kiwango kidogo cha mikopo chechefu (asilimia 3.3 Septemba 2025). BoT imewaonya wananchi kutohamisha fedha zao kutoka benki na kuzitunza nyumbani, ikisema utamaduni huo ni hatari na unaweza kupelekea wizi, kupotea au uharibifu wa fedha.
Badala yake, kutunza fedha benki kunalinda amana, kunalipia riba au faida ya mwaka, na kunasaidia benki kupata mitaji ya kukopesha wananchi. Benki Kuu pia inawaonya wote wanaosambaza taarifa zisizo sahihi mitandaoni waache mara moja, kwani uvumi huo hauna tija kwa maendeleo ya sekta ya fedha na uchumi wa taifa kwa ujumla.
View attachment 3489769
Serikali imesahau kuwa watu tumeisha ipuuzaBenki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuchapishwa kwa fedha na kuzisambaza kwa ajili ya uchaguzi, huku baadhi ya watu wakihamasisha wananchi kuondoa fedha zao kutoka mabenki kwa madai ya uhaba wa fedha.
BoT imesisitiza kuwa taarifa hizo siyo za kweli na zinapaswa kupuuzwa. Kuchapishwa kwa fedha kunafanywa kwa mujibu wa Kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu, Sura 197, na kuziingiza kwenye mzunguko kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kubadilisha fedha zilizochakaa zinazorudiwa na benki za biashara. Benki Kuu pia imeendelea kutekeleza Sera ya Fedha kwa ufanisi, huku mfumuko wa bei ukiwa chini ya wastani wa asilimia 3.3 kwa miezi 10 ya mwaka 2025, thamani ya shilingi ikaimarika kwa asilimia 8.8, na akiba ya fedha za kigeni kufikia Dola bilioni 6.7, ikikidhi uagizaji wa bidhaa nje kwa miezi 5.4.
Soma: Mange Kimambi adai Benki Kuu Tanzania (BoT) imechapisha pesa Makontena kwa Makontena (Money Printing)
Aidha, BoT imethibitisha kuwa mabenki yote nchini yanaendeshwa kwa kuzingatia sheria, kanuni, miongozo na viwango vya kimataifa, ukiwa na mitaji na ukwasi wa kutosha, faida endelevu, na kiwango kidogo cha mikopo chechefu (asilimia 3.3 Septemba 2025). BoT imewaonya wananchi kutohamisha fedha zao kutoka benki na kuzitunza nyumbani, ikisema utamaduni huo ni hatari na unaweza kupelekea wizi, kupotea au uharibifu wa fedha.
Badala yake, kutunza fedha benki kunalinda amana, kunalipia riba au faida ya mwaka, na kunasaidia benki kupata mitaji ya kukopesha wananchi. Benki Kuu pia inawaonya wote wanaosambaza taarifa zisizo sahihi mitandaoni waache mara moja, kwani uvumi huo hauna tija kwa maendeleo ya sekta ya fedha na uchumi wa taifa kwa ujumla.
View attachment 3489769
Hili ni tatizo la Serikali wamejitengenezea, Taarifa mbaya na za uzushi huenea Haraka, na za makanusho huenea taratibu... Kibaya zaidi engagement ya habari za Utawala huu ni ndogo sanaSijui ukweli au uongo wa habari hii.
Lakini wanaharakati wa Bongo wajiepushe na tabia ya uzushi.
Ju,i nimeona habari ina trend X kutika account ya Tanzania Leaks kuwa Rais Samia amemuweka chini ya ulinzi Jaji Joseph Sinde Warioba amewekwa nyumbani kwake. Kwamba Jaji Warioba amepigwa marufuku kuongea na vyombo vya habari.
I had a feeling this was fake.
Mimi huwa sipendi kuongea na rafiki zangu habari za siasa kwenye familia zao, lakini nikaona hili ni kubwa. Nikamtafuta rafiki yangu mmoja kwenye familia na kumuuliza hii habari kama ina ukweli wowote.
Akaniambia huo ni uzushi tu, hakuna kitu hapo, familia ipo salama na hakuna marufuku yoyote.
Nikasema that is what I thought.
Rumourville gone amok in silly season.
Mkuu hii mara ya pili naona hoja zako kutokana na huyo Tanzania leaks. Kwa nini unaamini jambo kutoka kwenye page ambayo hata mmilikk pengine humjuiSijui ukweli au uongo wa habari hii.
Lakini wanaharakati wa Bongo wajiepushe na tabia ya uzushi.
Wanaoona kuwa uzushi ni mbinu ya uanaharakati wanajipotezea credibility tu.
Juzi nimeona habari ina trend X kutoka account ya Tanzania Leaks kuwa Rais Samia amemuweka chini ya ulinzi Jaji Joseph Sinde Warioba. Warioba amepigwa pini nyumbani kwake. Kwamba Jaji Warioba amepigwa marufuku kuongea na vyombo vya habari.
I had a feeling this was fake news.
Mimi huwa sipendi kuongea na rafiki zangu habari za siasa kwenye familia zao, lakini nikaona hili ni kubwa. Nikamtafuta rafiki yangu mmoja kwenye familia ya Warioba na kumuuliza hii habari kama ina ukweli wowote.
Akaniambia huo ni uzushi tu, hakuna kitu hapo, familia ipo salama na hakuna marufuku yoyote.
Nikasema that is what I thought.
Hakuna kitu watakachoandika Tanzania Leaks nitakachokikubali bila rigid verification.
Rumourville gone amok in silly season.