Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ina make senseOTP zinatumwa as plain text, so ni rahisi hata kwa wafanyakazi walipo ktk mitandao ya simu kuziona/kuzisoma na kushiriki kufanikisha wizi.
bila kua na access ya otp code, Impossible
Sure, kuna namna nimekua nikikatwa ela ndogo ndogo kwenye account ya nmb bank bila kuelewa sababu ya hayo makatoStaff wakishirikiana na systems administrators wanapiga jangusho kila kukicha....Kuna jamaa siku hiyo kalewa anaropoka kwamba ka program system kwa kila transaction inayofanyika sh...3 inaingia kwenye line yake ya simu....Sasa tukikatwa sh. 3 hatuoni maumivu.....lakini kwa mamilioni ya watu wanaotumia huduma hiyo......?
Mtandao gani huo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Staff wakishirikiana na systems administrators wanapiga jangusho kila kukicha....Kuna jamaa siku hiyo kalewa anaropoka kwamba ka program system kwa kila transaction inayofanyika sh...3 inaingia kwenye line yake ya simu....Sasa tukikatwa sh. 3 hatuoni maumivu.....lakini kwa mamilioni ya watu wanaotumia huduma hiyo......?
2.Tanzania Inter-bank Settlement System (TISS)Naomba ufafanuzi kwenye hizi mbili
View attachment 2927657
- ATM card skimming ni nini?
- TISS ni hawa tunaowajua wote au?
Hapo ni wazi BOT hawajastusshwa wala kuguswa na wizi huu ndo maana wanaona waendelee kuboresha mifumo ya transaction salama. Tunajua ukuaji wa teknolojia ni lazima ratiba ya uboreshaji mifumo itekelezwe...
Taarifa hii inalenga kusaidia katika kuboresha udhibiti wa ndani ili kupunguza hasara za baadaye zinazotokana na wizi katika sekta ya benki....
Duh ni Hatari hii
Asante sana kiongozi2.Tanzania Inter-bank Settlement System (TISS)
Mimi huwa nasema ukisha ruhusu wizi kwenye saduku la kura, unakuwa tumeruhusu wizi kwenye kila kitu. Ukitaka kukomesha wizi tuanze na katiba mpya, ili tukomeshe wizi wa kura. Tukiwa ikiwa Hilo nchi itanyoka. Ukikomesha wizi wa kura umekomesha wizi wa mitihani mashuleni. Umekomesha wizi haki za kuajiriwa yaani kwenye offisi zote wataajiriwa watu wenye uwezo na sio wenye kadi za Chama.Mobile and Internet
Banking (including
cyber-attacks) ::
Cyber-attacks inaingiaje wakat bank zote zina request otp code ? au tuseme wanaclone sim card
Hii inaonyesha dhahiri weledi mdogo wa watu wanaoongoza nchi hii!Na kwamba hao wenye hayo magari ni sehemu ndogo sana ya population ya nchi