JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hayo yameelezwa na Afisa Mkuu Mwandamizi wa BoT, Deogratius Mnyamani na kuongeza kuwa baada ya muda wa uhakiki kupita, Application hizo zitafungiwa kutoa huduma.
Application zinazotambulika na kupewa kibali maalum cha kukopesha mtandaoni kutoka BoT hadi sasa ni 29 na zinapatikana katika tovuti ya Benki Kuu.