JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Ndiyo NAMI nashangaa, ila mpaka kieleweke Hawa jamaa siwataki kabisa na Hawa ndiyo maadui namba moja wa taifaHizo zinazotambulika na BOT ni zipi?Mbona kwenye website hakuna zinapoonekana hata kwenye ile orodha ya wakopoeshaji waliosailiwa na BOT?
Wangeorodhesha hizo 29 ili sisi tuzijue tunazozisikia zipo au la.Maelezo hayaridhishi.
I hope mkiwakamata made madeni yetu yatafutiwa 😆 😂 😆 😂Imeelezwa kuwa program tumizi (Application) 55 zinazotumika kutoa mikopo mitandaoni hazitambuliki na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Hayo yameelezwa na Afisa Mkuu Mwandamizi wa BoT, Deogratius Mnyamani na kuongeza kuwa baada ya muda wa uhakiki kupita, Application hizo zitafungiwa kutoa huduma.
Application zinazotambulika na kupewa kibali maalum cha kukopesha mtandaoni kutoka BoT hadi sasa ni 29 na zinapatikana katika tovuti ya Benki Kuu.
Si ndio hapo,hawa bot ndio wahuni wanaowaendekeza.Wangeorodhesha hizo 29 ili sisi tuzijue tunazozisikia zipo au la.