Hela wenyewe za karatasi ikipata maji kidogo ndio imeshatika asili yake, watu sikuizi wanatumia hela za plastic, yaani hata uifue, uikunje upake kilanaina yauchafu kitu kiko vilevile kama kipya
Kwenye barua kuna sehemu imeandikwa "matendo hayo yanatweza fedha ya Tanzania..."
jamani, jamani, jamani hivi ukweli wa hilo uko wapi, nimejikuta nacheka tu. viongozi pambaneni na serious issues ktk hili taifa, fedha ya nchi haidharauliki kwa sababu ya kutunzana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.