Kwenye barua kuna sehemu imeandikwa "matendo hayo yanatweza fedha ya Tanzania..."
jamani, jamani, jamani hivi ukweli wa hilo uko wapi, nimejikuta nacheka tu. viongozi pambaneni na serious issues ktk hili taifa, fedha ya nchi haidharauliki kwa sababu ya kutunzana