Nimekuta dirisha la CRDB na Benki ya Posta zikitoa huduma za M-Pesa. Swali langu ni kwamba benki zimekubali kwamba haziwezi kuwa na mbadala wa kuwaondoa M-Pesa kwa mkakati wa kibiashara mpaka wanakubali kuwa vibarua wao?
Nawafananisha na serikali kukaribisha wawekezaji halafu inaanza kubembeleza ajira, ushuru, mirahaba n.k
TPB Arusha hapa Clock tower, nafikiri hata Meru ni vibarua wa M-Pesa
Ubepari mkuu....watu wanaangalia faida zaidi.Nimekuta dirisha la CRDB na Benki ya Posta zikitoa huduma za M-Pesa. Swali langu ni kwamba benki zimekubali kwamba haziwezi kuwa na mbadala wa kuwaondoa M-Pesa kwa mkakati wa kibiashara mpaka wanakubali kuwa vibarua wao? Hata hivyo sioni njia rahisi ya mabenki kupambana na makampuni ya simu bila kuvunja sheria au maadili.
Nawafananisha na serikali kukaribisha wawekezaji halafu inaanza kubembeleza ajira, ushuru, mirahaba n.k
ikumbukwe kuwa madirisha unayo yaona kuwa ni ya M-PESA (mfano CRDB mlimani) ni kwa ajili ya mawakala tu na si mteja mmoja mmoja kuchukua hela yake!hivyo m-pesa naye ni mteja katika benk husika!!
Nimekuta dirisha la CRDB na Benki ya Posta zikitoa huduma za M-Pesa. Swali langu ni kwamba benki zimekubali kwamba haziwezi kuwa na mbadala wa kuwaondoa M-Pesa kwa mkakati wa kibiashara mpaka wanakubali kuwa vibarua wao?
Nawafananisha na serikali kukaribisha wawekezaji halafu inaanza kubembeleza ajira, ushuru, mirahaba n.k
mkuu nadhani huelewi vizuri hizi biashara, Huduma za mitandao ya cm na bank zinategemeana saana, maana hii mitandao ya simu si sawa na bank, ndo maana iko kibiashara zaidi, kwa mfano hiwezi weka laki moja kwenye mpesa ukatoa laki moja hiyo huyo,
isitoshe wafanya biashara wengi wa mitandao ya simu hawana pesa za kutosha kwa mfano unaweza kuhitaji mil moja na nusu wakakosa lakini ukienda kutoa bank unapata, nilitegemea ungesifia kwa bank kukubali kuisuport huduma hii,