Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,262
- 8,144
Nimekuta dirisha la CRDB na Benki ya Posta zikitoa huduma za M-Pesa. Swali langu ni kwamba benki zimekubali kwamba haziwezi kuwa na mbadala wa kuwaondoa M-Pesa kwa mkakati wa kibiashara mpaka wanakubali kuwa vibarua wao?
Nawafananisha na serikali kukaribisha wawekezaji halafu inaanza kubembeleza ajira, ushuru, mirahaba n.k
Nawafananisha na serikali kukaribisha wawekezaji halafu inaanza kubembeleza ajira, ushuru, mirahaba n.k