watumishi wa Serikali ni Masikini sana Mishahara ni midogo sana Mikopo ya serikali haina uhakika Nafikiri sera ya mikopo ingeangaliwa tena hasa kwa mikopo ya watumishi ambao mishahara yao ni midogo sana ambayo haiendani na uhalisia wa gharama za maisha Mabenki yapo kwa ajili ya kuwanyonya watumishi Wanadanganya riba asilimia 17 na huku uhalisia riba ni 50 percent wakati wa magufuli riba zilishuka mpaka 13 percent ila sasa Miaka 4 baada ya kifo chake Riba imerudi juu 17 percent mpaka 45 percent na benki kuu inaruhusu mikopo kausha damu na vi microfinance vinavyokuwa na riba kubwa Jamani viongozi watunga sera angalieni tabaka kubwa la watumishi nchi hii ni kina nani? wanalipwa nini na mazingira yao ya kazi yakojeTena sasa hivi hata option ya kulipa Partial au full imeondolewa kwenye mfumo wa ESS waliotengeneza mfumo ni ama aidha walikuwa hawakujipanga au kuna ukwamishaji toka katika mabenki N mabenki riba zao ni tooo Much unakopa Milioni 22,000,000/= riba unalipa milioni 21,000,000/- halafu unaambiwa Riba ni asilimia 17 this is Shame
Hiki kipengele cha kuuza mkopo ndo kinatia hasira kbsa maana kipo lakni hakifanyi kazi sjui ni suluhisho gan mtumishi anaweza kutumiaUkitaka kukopa ni mserereko tu huendi ofisi yoyote wala humpigii simu yeyote ila ngoma ukisema sasa ngoja nilipe deni lao hili! Huwezi ng'o!
Mabenki hebu acheni hizo bana yaani kuna vitu hivi laiti mngewezesha watu kujihudumia wenyewe kwenye ess basi ingekuwa poa sana
1. Mtu hawezi kubadili muda na makato ya mkopo bila kufanya topup. Hii kitu mngeondoa
2. Mtu hawezi kulipa sehemu ya deni analodaiwa na hata akitaka kulipa lote hawezi bila kwenda ofisini. Kichekesho kingine hiki
3. Mtu hawezi kuuza deni. Mlifanya vema sana kuruhusu mtu kukopa benki yoyote bila kulazimika kupitishwa mshahara wake huko. Hili pia nina imani mnaweza
4. Mtu hawezi kukopa benki nyingine bila kuwa na akaunti kwenye benki hiyo. Kwenye simu tu kuna "tuma kwenda mitandao mingine" nitashangaa kama benki jambo hilo haliwezekani
Duh!Ukitaka kukopa ni mserereko tu huendi ofisi yoyote wala humpigii simu yeyote ila ngoma ukisema sasa ngoja nilipe deni lao hili! Huwezi ng'o!
Mabenki hebu acheni hizo bana yaani kuna vitu hivi laiti mngewezesha watu kujihudumia wenyewe kwenye ess basi ingekuwa poa sana
1. Mtu hawezi kubadili muda na makato ya mkopo bila kufanya topup. Hii kitu mngeondoa
2. Mtu hawezi kulipa sehemu ya deni analodaiwa na hata akitaka kulipa lote hawezi bila kwenda ofisini. Kichekesho kingine hiki
3. Mtu hawezi kuuza deni. Mlifanya vema sana kuruhusu mtu kukopa benki yoyote bila kulazimika kupitishwa mshahara wake huko. Hili pia nina imani mnaweza
4. Mtu hawezi kukopa benki nyingine bila kuwa na akaunti kwenye benki hiyo. Kwenye simu tu kuna "tuma kwenda mitandao mingine" nitashangaa kama benki jambo hilo haliwezekani
Ess utumishi wanazingua sana,mifumo Yao haifanyi kaziHiki kipengele cha kuuza mkopo ndo kinatia hasira kbsa maana kipo lakni hakifanyi kazi sjui ni suluhisho gan mtumishi anaweza kutumia
Mishahara ni duni sana serikalini ndio maana wafanyakazi wanakopa maisha yaende.Mnapenda sana mikopo,matokeo yake mnachukia kazi
Wasifanye KituEss utumishi wanazingua sana,mifumo Yao haifanyi kazi